Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
TZ is Slum💩😆🙉🤣🤣🤣🤣🤣🤣💉💉💉💉💉
Mtanzania hawezi kuandika kiswahili kibovu kama iko,huyo ni mungiki wa kibera kiasi kwamba anaona slums zilizojaa kenya ni kawaida anaongelea upupu,hivi upupu anaujua kweli huyo fala!Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
V v +v z 🙄🙄 🙄 andika vizuriNa sisi tulipigana Vita za Kagera🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti venye upupu,huu uzi mungiki wanachezea za chembe mpk wanakuja na id za kujifanya Watanzania!
Huyu sio mbongo 🙂
Huyu atakuwa imposter hamna mbongo wa style hii nimejikuta nacheka hata wacongo na warundi wanajitahidi sana 🙂Mtanzania hawezi kuandika kiswahili kibovu kama iko,huyo ni mungiki wa kibera kiasi kwamba anaona slums zilizojaa kenya ni kawaida anaongelea upupu,hivi upupu anaujua kweli huyo fala!
Hata kama ya kwao,wanavyodhani tukiitaka hiyo express way ya mkopo mchina atakataa kutupa,express way si kipaumbele chetu kwa sasa,angalia kwa wivu wao wanavyosuffer na brt,wanapiga mpaka rangi barabarani ili mradi tu wawe na brt!wakunya wivu ni jadi yao ndio maana ukabila umetamarakiExpress ya mchina kwa miaka 30 na bado mutamlipa mchina kutumia then itukoseshe raha sisi?? Serious 😁😁😁 ni mlevi pekee ndio atakaekosa raha
Halafu sasa afadhali angekua anajua kiswahili kabla ya kujifanya Mtanzania,hao mungiki wenzake kiswahili wanakijulia humu humuHuyu atakuwa imposter hamna mbongo wa style hii nimejikuta nacheka hata wacongo na warundi wanajitahidi sana 🙂
Nlikuwa Niko busy na mambo yangu aafu jamaa linaibuka from no where 🤣🤣🤣daah Yani huyu kama maadishi yake yana fanana na mtu Fulani humu ndani🙂double ID nahisi 🙂Halafu sasa afadhali angekua anajua kiswahili kabla ya kujifanya Mtanzania,hao mungiki wenzake kiswahili wanakijulia humu humu
Pole yako. Lugha ya kiswahili inafundishwa mashuleni kuanzia chekechea, sio ka nyie mnaanzishwa kusoma kiingereza shule ya upili, sasa hapo unatarajia jitoto lizima lishamea mavu... zi lishike hiyo lugha kweli? 😂 😂 😂 😂 Alafu ndio mnataka kuwa "innovators", yaani sahi science team yenyu ya vyuo viitwe competition huko ughaibuni, huoni itakuwa kituko kwenye presentation aisee, unanikumbusha 'Mkalimani' wenyu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Halafu sasa afadhali angekua anajua kiswahili kabla ya kujifanya Mtanzania,hao mungiki wenzake kiswahili wanakijulia humu humu
Kuna nchi ambayo inakosa watu wa taifa lingine hapa eaUongo Gani Sasa??Kwanza Kenya unapata Waganda,Warwanda,Waburundi na Watanzania wakitafuta Pesa,Kenya Kuna chance Nyingi sana
Over 20 ni nyingi sana,kama hizi hujaweka na ziko topped out....hii building next to mj1 ni ndefu kidogo na floor 21 kwa sasa.hii picha ni ya kitaambo kidogoYou've not included the following in that list (at least the ones that I can remember):
1. GTC residential tower one
2. GTC Residential Tower two
3. GTC Residential tower three
4. GTC Residential tower four
5. FCB Mihrab tower - 25 floors
6. One Africa Place - 21 floors
7. MJ1 Business Tower - 20 floors
8. Parliament Towers - 26 floors
9. CBK Pension House - 30 floors
10. Upper hill Chambers - 26 floors
11. The Marquis Tower one - 21 floors
12. The Marquis Tower two - 21 floors
13.Hazina Towers - 24 floors
All these are complete/topped out buildings. Hapo hatujaweka zile ziko under construction like 88 Nairobi
Fala flan limeamua kuja na id nyingine kupoza machungu ya njaa ya kunyalandNlikuwa Niko busy na mambo yangu aafu jamaa linaibuka from no where 🤣🤣🤣daah Yani huyu kama maadishi yake yana fanana na mtu Fulani humu ndani🙂double ID nahisi 🙂
🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣
which Hazina Tower?You've not included the following in that list (at least the ones that I can remember):
1. GTC residential tower one
2. GTC Residential Tower two
3. GTC Residential tower three
4. GTC Residential tower four
5. FCB Mihrab tower - 25 floors
6. One Africa Place - 21 floors
7. MJ1 Business Tower - 20 floors
8. Parliament Towers - 26 floors
9. CBK Pension House - 30 floors
10. Upper hill Chambers - 26 floors
11. The Marquis Tower one - 21 floors
12. The Marquis Tower two - 21 floors
13.Hazina Towers - 24 floors
All these are complete/topped out buildings. Hapo hatujaweka zile ziko under construction like 88 Nairobi
Mwanzoni wakati huu uzi unaanza ilikuwa ngumu kuwashawishi Watz kwamba tupo juu ya nchi zote za EA but nowadays hata wale UFIPA waliokuwa wanatukana humu wamepotea, wamebaki kuongea siasa tuEti venye upupu,huu uzi mungiki wanachezea za chembe mpk wanakuja na id za kujifanya Watanzania!







