ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ipi hio hebu itaje 😁😁😁 wakat hakusafiri kwenda nje ya africa ni expense gani hio wakat mlevi wenu anatoka kenya kwenda ufaransa kuomba mkopo wa km 5 railwayAnabana matumizi wapi, ilkuwa chenga kwa raia wa bongo. Expenses zake alizotumia kwa msafara wa magari ndani ya nchi, akiongozana na officials kibao nyuma ilikuwa kubwa sana. Hebu waulize wanajua kinagaubaga swala hilo. 😂

hiyo baiskeli tu ananunua Probox kwa msela wake