Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ningewashauri mobius waanze kutengeza military vehicles.
Screenshot_20210610-105801.png
Screenshot_20210610-105930.png
 
Umesahau kule mbeya vile mchina alipiga kijiji kizima kung- fu, yani mshahara ni teke la kung- fu 😂 😂 😂 👇 👇
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
Nilikwambiaga nyani haoni nini!... Wao hata wanasiasa wanawachapa kisawasawa, na sio tafadhali. Uliona ile video, mkuu hawa wajomba wanaonewa na serikali, itabidi tuwakomboe! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nioneshe mm mauzo ya mobius ukipata nitag mm 😁😁😁 au haina statement ya mauzo na profit

mkenya na probox ni kama kende na chupi😅😅
Ulitaka probox isiuzwe,ama hizo aina zingine pia? wewe kwani ni nani hapa KE??? 😂 Huna say kwa pesa ya mtu binafsi..
 
Back
Top Bottom