komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mfumo wao wa elimu hawa majamaa ni wa kibwege kabisa duniani[emoji1787][emoji1787]Nyingine hiyo! Effects zake tunazionaga hapa hapa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1814047
View attachment 1814048
We uliona wapi elimu ikawa na part one na part two, kwn ni bongo movie manake elimu ya tanzania ni sawa na uigizaji tu[emoji1787][emoji1787]
Yani huyo mwamba kauliza swali zuri sana, we hta kingereza hukijui alafu ikifika form one inabidi ukitumie kusoma na kuandika km si ulofa ni nn