Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! 🤣 🤣 🤣 🤣Ona sasa nn unaongea wewe 😃😃😃
Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! 🤣 🤣 🤣 🤣Ona sasa nn unaongea wewe 😃😃😃
Tajiri Sina Ubaya🤑💩🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 google earth ya mzungu haikuona ile mkenya kavumbua
Tulikitia Royco, tukakifanya kiwe 'Sheng'😬Mbona hamujui kuongea kiswahili sasa🤣🤣
Nani kasema hatujui, leta data.Mbona hamujui kuongea kiswahili sasa🤣🤣
Eti wanathani hatujui kuongea kiswahili na ata Watanzania wengi hawajui kukiandika kwa kitabu🙈🤣🤣🤣🤣Tulikitia Royco, tukafanya kiwe 'Sheng'😬
Mm lugha yangu ni kiswahili ndio maana kabudi aliwanyooshea kiswahili mukwa munashangilia 🤣🤣👇👇Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! 🤣 🤣 🤣 🤣
sheng ndio kiswahili ?? 😄😄😄 Lugha ya wahuni ndio kiswahiliTulikitia Royco, tukakifanya kiwe 'Sheng'😬
oooooh Men😆Pwahahaha! 🤣
View attachment 1814264
Class 5 anakutoa kijasho mkulungwa! 🤣 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona unawasi wasi sanaSawa Tajiri,Nimetii😆Ila usiwe ulipiga Picha Gari ya Neighbor 🤣🤣🤣🤣
ni Ksh3.66Trillion ÷ 107= $34.2B!Mzee trilioni tatu za kenya ni sawa na $30B km sijakosea
Kitu kilichonishangaza, huwa wanachaguliwa course za kufanya na serikali kulingana na marks zako, like wtf! 🤣 🤣 🤣Masomo balaa down south..,2021!!
Ummy: Kuna shule wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu, fizikia
THURSDAY JUNE 10 2021
![]()
Summary
ADVERTISEMENT
- Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.
![]()
By Mwandishi Wetu
More by this Author
Dar es Salaam. Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.
Amesema kwa uchambuzi uliofanywa unaonyesha kuna shule takribani 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia na kwamba shule takribani 400, wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani.
Ummy ameyasema hayo leo Alhamisi Juni 10, 2020 alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum (CCM), Hawa Mchafu kuhusu lini walimu wa sayansi watapelekwa katika Mkoa wa Pwani.
“Tunakiri kuwa na uhaba wa walimu wa sayansi. Kwa uchambuzi uliofanywa ndani ya miezi mitatu unaonyesha takribani shule 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia. Shule zipatazo 400 ambazo hazijawahi kuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani,” amesema Ummy.
Amebainisha kuwa ipo fursa ya kutumia (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuwawezesha kusoma kupitia mtandao.
“Hili tumeliona ipo fursa ya kutumia maendeleo ya ICT ili kuwawezesha wanafunzi kusoma kupitia mtandao..., tutaajiri walimu wazuri na kurekodi mada zote kuwawezesha kusoma kwa njia ya mtandao,” amesema Ummy.
Aibu kubwa mnoMasomo balaa down south..,2021!!

Sheng is a twisted language version with 80%words from Kiswahili,5%English,15%From Other languages to form Sheng language.Yani Joh inanice mbaya,monchoka unitaje Nai Nikusho kiswa na kingoso Kama unadaisha,usiniletee Vako,Vako acha kejani kwa mafala.Monchoka👊👊🔥🔥🇰🇪🔥😃sheng ndio kiswahili ?? 😄😄😄
Lakini mbona hivi?? it is not good for the children..,Aibu kubwa mno
Umemkoroga sasa! Umemwacha hadi na ngumi mbwexe... 😬😬😬😂Sheng is a twisted language version with 80%words from Kiswahili,5%English,15%From Other languages to form Sheng language.Yani Joh inanice mbaya,monchoka unitaje Nai Nikusho kiswa na kingoso Kama unadaisha,usiniletee Vako,Vako acha kejani kwa mafala.Monchoka👊👊🔥🔥🇰🇪🔥😃
Kabisa,alafu sababu ya kutoajiri walimu ni ipi? Ukifuatilia hakunaLakini mbona hivi?? it is not good for the children..,