Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Bado wako kwa stage Ile ngumu ya ku unlock Vifuli ambazo walikuwa wamefungiwa nazo,unajua Juzi Makufuli #Aka Baba Yao,alikuwa anawaambia wasijaribu kugusa Makufuli yake ama watakipata,Sasa wape muda watabadika tu,They are in Tromour 😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💉Suluhu ako sawa but mataga ni wajinga bado wanasifu mzoga wa magufuli