Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Road trips ni lazma kwasababu anakagua miradi ya nchi na alisema hawezi kwenda nje wakat ndani kuna safari ya maendeleo 😃😃 na alisema watakaonda nje ni wasaidizi wake mbona hilo liko simple

tatizo lenu munamchukia bure wakat hawahusu kabisa 😂😂😂😂
👇 👇 👇 🤣🤣🤣💉💉💉
Screenshot_20210610_162556.jpg

Screenshot_20210610_162544.jpg

Screenshot_20210610_162534.jpg

Screenshot_20210610_162519.jpg

Screenshot_20210610_162502.jpg
 
Nakama sisi wanatukana na Nyinyi Sasa watasemaje😆💉💉🤣🤣🤣🤣🤣
🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😬😬😬😬😬😬😬😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
My opinion, Magufuli regime ili prioritize ujenzi kwa kunyonga sector mingi sana, Uchumi wa Tz ni hafifu sana kufanya miradi bila kukopa, vyanzo vya kutega uchumi haviwezi tosheleza mahitaji ya budget, same as Kenya to some extent, itabidi unyime sector muhimu kadhaa fedha, ama ukope kimya kimya., otherwise education must be a priority.
Uko sawa
 
Estimations by bloggers, OMG! 🙆🏾‍♂️🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kweli ninyi vichwa vya wendawazimu pamoja na kuabudu English lakini hata million 3 hamfiki 😅😅😅😅

Ndio maana wanasiasa wenu wakitaka kuongea na mkenya wa kawaida wanaongea vernaculars sababu English is not reachable 😅😅😅
 
Anabana matumizi wapi, ilkuwa chenga kwa raia wa bongo. Expenses zake alizotumia kwa msafara wa magari ndani ya nchi, akiongozana na officials kibao nyuma ilikuwa kubwa sana. Hebu waulize wanajua kinagaubaga swala hilo.
Swala ni huyu mnyama,
Jifunze Lugha fasaha mkunya.
Screenshot_20210610-170146_Google.jpg
 
Kweli ninyi vichwa vya wendawazimu pamoja na kuabudu English lakini hata million 3 hamfiki 😅😅😅😅

Ndio maana wanasiasa wenu wakitaka kuongea na mkenya wa kawaida wanaongea vernaculars sababu English is not reachable 😅😅😅
Acha kunifurahisha, mkuu hata grandma wangu yuko radhi umzungumzie kiingereza sababu ataelewa, alisoma, ila sio Kiswahili, hicho alisema alikianguka akiwa shule.
Mfano mzuri, media stations nyingi hu broadcast na kiingereza, Kiswahili mara moja moja kwa special segment yake ya news. 😂
 
Back
Top Bottom