Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,394
- 7,242
Umeshawahi ona akari wa JWTZHujaskia hata paratroopers wanakufa wakiwa training za kila wakati huko ughaibuni pia, ajali haitabui wewe ni nani. Na sio mara yao ya kuanza kuruka, ndio kazi zao so sioni issue kubwa hapo. Ila ka umezoea movie, nakuelewa! 🤣
wakianguka kama magunia mwenye demonstration kiwanjani? Tena mbele ya raisi?





