Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nime try sana kuwa keen,.. nime try sana kuona ni Sekta gani Tz inaizidi jirani yake kenya... lakini walai mamangušŸ¤”, sijai ona ni wapi hasa, sija wona ata mojaā˜... yani tumewazidi hawa watu kwa kila jambo
 
even israel and russia enhance our military prowess. wht the hell is tanzania in the first place!?
putin and uhuru.jpg
 
nime try sana kuwa keen,.. nime try sana kuona ni Sekta gani Tz inaizidi jirani yake kenya... lakini walai mamangušŸ¤”, sijai ona ni wapi hasa... yani tumewazidi hawa watu kwa kila jambo
ata mpaka football bado tunawafira
 
naona tu ndo mmeanza sasa. lakini ndio mfike level ya kenya kwa real-estates, mna miaka ka mia hivi. real-estates kenya ime tapakaa kila corner kila pembe
WB walivyowaambia real estate Tanzania imewapita kwa zaidi ya $B12 mlifikirije?

Kitu kipo mbioni kuisha kawe

Wastelands inachapwa na Kawe anytime

images - 2021-06-02T063503.003.jpeg
images - 2021-06-02T063531.518.jpeg
images - 2021-06-02T063826.683.jpeg
images - 2021-06-02T063752.092.jpeg
 
nime try sana kuwa keen,.. nime try sana kuona ni Sekta gani Tz inaizidi jirani yake kenya... lakini walai mamangušŸ¤”, sijai ona ni wapi hasa, sija wona ata mojaā˜... yani tumewazidi hawa watu kwa kila jambo
Kama wewe una ubavu nioneshe posh area like this yenye distance ya 45 kilometers kutoka Nairobi CBD

 
Yaani ni Mungu tu, sehemu yote hiyo arid & semi arid na bado tunasonga mbele na maendeleo tukiwa na shida zetu. šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ Wenzetu wa juu na chini mtindo huo huo... Duh, Inauma lakini itabidi wazoee eh! šŸŽ¶ 🤣 🤣 🤣
Munasonda mbele kwenda wapi labda jahanam šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡
8E8C1827-B3D2-4CB7-8D9A-616A24609E57.jpeg

kabisa bro. ata gdp ni $126B vs $65BšŸ¤” hiyo gap tumefungua kweli
 
Back
Top Bottom