Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Dawa imeingia eh? 😂 😂 😂Hehehe hio ni source ya wapi?? 🤣🤣🤣
Dawa imeingia eh? 😂 😂 😂Hehehe hio ni source ya wapi?? 🤣🤣🤣
Bwahaha!!kwhyo we hutaki kujichorea km wenzakodream yangu ni kuwa kama hio..? una lingine?


Three elite soldiers from the U.S. Army Parachute Team were injured early Tuesday morning during a training accident at Homestead Air Reserve.Limwana-jeshi laKenya limeanguka toka angani huko, limepelekwa hospital!
Mjamaa hayana kitu, yaani siku maalumu, hamana kitu hii mijamii!
Either anaishi nyumba ya kupanga kama kawaida, ama anaisha kwa mamake! 🤣 🤣 🤣Bwahaha!!kwhyo we hutaki kujichorea km wenzako
Pole sana
Wazee wa nyumba za ndoto zao Nicxie jamaa leo kapenda nyumba mtandaoni imekuaje tena na wakati tumeelewana watanzania wanajenga nyumba walizoziota usingizini
Munatupeanga Chakula ama Tunanunuanga na Pesa Zetu🔥🇰🇪🔥😏Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?
Ninyi kaeni huko huko kwenu, tunachoweza kuwahakikishia ni uhakika wa chakula kutoka kwetu sababu ninyi ni fukara na dhaifu wa chakula primarily.
Twataka kuona mijengo ya maana isiyo mikopo ikijengwa huko pia!Wakenya hawajahi kujenga kitu kikafanana na render labda projects za mikopo kidogo ambazo nazo pia wanapigwa![]()
Kawe neighbourhood is Europe for you
naona tu ndo mmeanza sasa. lakini ndio mfike level ya kenya kwa real-estates, mna miaka ka mia hivi. real-estates kenya ime tapakaa kila corner kila pembe

nyie watu kweli mna vijimambo.... ata kwa dawa!. kenya is leading in africa when it cames to matters real-estate!
endeleeni kupost estate ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu,,huwa hamnaga jipya...Dawa imeingia eh?![]()
![]()
![]()



Nimepata jibu langu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣endeleeni kupost estate ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu,,huwa hamnaga jipya...
huwa hamna vipya vya kupost zaidi estate ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu
poleni mnakazi kubwa sana,jengeni nairobi hiyo mji wenu bado pori
View attachment 1805380View attachment 1805381View attachment 1805382View attachment 1805383View attachment 1805384View attachment 1805385View attachment 1805386View attachment 1805387
its kenyan culture to incorporate trees between buildings, be it at residential areas or downtown.... we realy do care about environment. kenya went green along time ago.endeleeni kupost estate ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu,,huwa hamnaga jipya...
huwa hamna vipya vya kupost zaidi estate ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu
poleni mnakazi kubwa sana,jengeni nairobi hiyo mji wenu bado pori
View attachment 1805380View attachment 1805381View attachment 1805382View attachment 1805383View attachment 1805384View attachment 1805385View attachment 1805386View attachment 1805387
Kule wenye kujenga ni mmoja mmoja ndo maana hata hazijaisha wanaenda kupiga picha. 😂 😂 😂naona tu ndo mmeanza sasa. lakini ndio mfike level ya kenya kwa real-estates, mna miaka ka mia hivi. real-estates kenya ime tapakaa kila corner kila pembe
Si hizo furniture Zenu za Standard mungetumia kwa offici Ile ya Magu👊👊🍼😆🤣🤣🤣🤣🤣Hamna furniture zenye standard ya Tanzania, kwanza mbao mnatoa wapi? Ni hizo ambazo sisi ndio huwauzia?
Nakumbuka furniture za ofisi yake zilikuwa Noma Sana TZ🔥🔥😆Si hizo furniture Zenu za Standard mungetumia kwa offici Ile ya Magu👊👊🍼😆🤣🤣🤣🤣🤣
Heri Hawa paratroopers wetu wameumia kwa Uhodari yenye ata Mimi sina🙏Imagine Jeshi ya Mabongolala inavunja mawe na nyundo kwa Tumbo ya mwenzake😆Nakwambia Kuna mtu alikaukiwa na Tumbo ikabidi ambulance ibebe maiti🤣🤣🤣🤣Hujaskia hata paratroopers wanakufa wakiwa training za kila wakati huko ughaibuni pia, ajali haitabui wewe ni nani. Na sio mara yao ya kuanza kuruka, ndio kazi zao so sioni issue kubwa hapo. Ila ka umezoea movie, nakuelewa! 🤣
And yet 90% of Kunyaland is totally dessert.its kenyan culture to incorporate trees between buildings, be it at residential areas or downtown.... we real do care about environment. kenya went green along time ago.
just pure concrete jungle like dar sucks!![]()
ingawaje real-estates zetu zinakaa kama za ujamaa(socialist).. kama za moscow ama china kwa mfano, lakini kila mtu anaishi maisha yake. pasipo shugulika na jirani wake. mimi kwa mfano nikiwa pipeline estate, niliwahi maliza mwaka mzima bila kuonana na jirani wangu next door.🤔
south africa is even drier, but its an economic force to reckon withAnd yet 90% of Kunyaland is totally dessert.