Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizo ni training za kawaida kijeshi,,,,
ogopa sana watu hao
Sawa bhana 😬😬😬
Screenshot_20210528_131509.jpg

Screenshot_20210501_164545.jpg

IMG_20210516_151402.jpg

images (25).jpeg

Screenshot_20210602_014930.jpg
 
KDF Forces training with US Marines.. note, the guns are American M4 and M16s only View attachment 1805467View attachment 1805466
kwa jinsi salute tu zilivyopigwa hapo kwenye picha ,unajua kabisa yupi ni mwanajeshi imara na yupi ni mwanajeshi dhaifu kimafunzo,,,

huyo mkuu wenu wa jeshi na hao wanajeshi wenu wengine wanapiga salute kizembe sana ,ambayo hata huyo mama kibonge hapo pembeni angeweza kushow ..

stupid & poor kenyan army
 
Jamani mchina effect unaathiri watu! Hao jamaa nawaachia mji wa kogelo tu, wale jamaa wanawatosha, hatuna haja ku waste resources! Ama tuwape GSU, lakini tutakuwa tunawaonea, tena ni polisi tu wa kawaida hao!
huko umeenda mbali sana yaani hao GSU tukija watu wawili tu mimi na The best 007 huku tukiwa na visu tu ,,tunachinjilia wote mbali ,,tunamaliza show
 
hata mkifundishwa na Jesus,,
ishu si kufundishwa ishu ni kucover training kiufanisi kuwa well trained,hata baadhi ya wanajeshi wenu wakija huku kwenye kubadilishana uzoefu huwa ni wazito hivyo hivyo ni vilaza hawafundishiki kirahisi..

matokeo ya jeshi zaifu ndiyo hayo sasa yaliyotokea na ipo siku kwenye maonyesho kama hayo mjeshi ndani ya Jet atakuja kuwashushia kombora uwanjani ,kwa kukosa umakini na nidhamu ya kijeshi
Umekuwa mwalimu wa kambini, eti hayashiki, anyway kilaza ni kilaza tu. Mkuu mmoja wa jeshi lenyu alihitimu huku ujue! 🤣 🤣 🤣
 
kwa jinsi salute tu zilivyopigwa hapo kwenye picha ,unajua kabisa yupi ni mwanajeshi imara na yupi ni mwanajeshi dhaifu kimafunzo,,,

huyo mkuu wenu wa jeshi na hao wanajeshi wenu wengine wanapiga salute kizembe sana ,ambayo hata huyo mama kibonge hapo pembeni angeweza kushow ..

stupid & poor kenyan army
Tembe zikitoka hazijui saluti dadeq! 🤣 🤣 🤣 Hapo ni kuchapa tu mwendo wa kwenda mbele!
 
Jeshini watu wanaruka viunzi vya moto, kutambaa kwa mawe kifua wazi... Sio kuvunja matofali. Train Hard Fight Easy. Be smart sometimes
jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....

endeleeni kutambaa kifua wazi na huo mtindo wa kutembea na mawe kifuani ambao ni vitu vya kawaida kijeshi,,,,mtaendelea kuchapika na kuanguka na parachures dayle
 
Umekuwa mwalimu wa kambini, eti hayashiki, anyway kilaza ni kilaza tu. Mkuu mmoja wa jeshi lenyu alihitimu huku ujue!
kubadilishana mafunzo ni vitu vya kawaida hata nyie huwa mnakuja huku,,,

hilo jambo siyo big deal
 
jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....

endeleeni kutambaa kifua wazi na huo mtindo wa kutembea na mawe kifuani ambao ni vitu vya kawaida kijeshi,,,,mtaendelea kuchapika na kuanguka na parachures dayle
Wewe nenda ukafundishe wenzako, staki taarifa hapa. 😂 😂 😂 Movie zinawakanganya!
 
Tembe zikitoka hazijui saluti dadeq! Hapo ni kuchapa tu mwendo wa kwenda mbele!
sema jeshi lenu inabidi likazane sana,,
bado halipo well kabisa kimafunzo pamoja na jitihada zote mnazozifanya kwa kuweka bajeti kubwa
 
hapo hakuna movie wala picha ,,,ukikutana nao ground unachapika kweli mpaka unajinyea
Nakwambia ka ni mimi pale ground alafu jamaa wanafanya vituko vile, wallahi natoka naenda ghetto, siwezi poteza mda nikiangalia kicheko! 🤣 🤣 🤣
 
jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....

endeleeni kutambaa kifua wazi na huo mtindo wa kutembea na mawe kifuani ambao ni vitu vya kawaida kijeshi,,,,mtaendelea kuchapika na kuanguka na parachures dayle
Mbona misipeleke Hao Jeshi wenu wrestling ama 🥊 tuone,Watapigwa mpaka watoke meno,Endeleeni Kuvunja mawe
 
Back
Top Bottom