Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio space kati kati ni ya brt, james gichuru rironi highway
IMG_20210602_102845.jpg
 
Laana ni eti nchi imebarikiwa lakini wananchi ni fukara tena sana., uchumi hafifu., nyie na Congo in conduct mnatofautiana but in principle you are one and the same., ovyo kabisa, shida ni fikra, sio kukosa ama kukua na rasilmali., think bwana, jaribu ku reason, kulikoni?
Maumivu yakizidi muone daktari 😁😁😁😁

Naona vitasa vya good life ya wa bongo inakuletea ukichaa 😁😱😁 I love that
 
Export ya timber haina shida, hatuwezi kushindana kwa ukataji wa miti. Hongera kwenyu!
Mzee hiyo ni modern timber plantation kuna millions of acres of commercial timber Tanzania

Ngoja nitaileta hiyo topic separately
 
Na sio eti Tanzania inatoa msaada, la hasha, hamuna uwezo kwa sasa., pia Timber inatoka Congo., kibiashara.
Ikitoka Congo kuja Kenya mlivyo mafukara mtaweza kununua? Au unafikiri Congo na Kenya ni kama Somalia?
 
ila wabongo wenzangu poleni kuwaelewesha hizzi nairobian zombie

mie kila nikijaribu nashindwa
Malnutrition ilishawaharibu ubongo, wamekulia maisha ya shida sana kwenye slums na njaa unategemea nini?
 
Airports za Viwango Vya Kimataifa
JN International Airport (Dar)
AAK International Airport (Zanzibar)
Kilimanjaro International Airport
Songwe International Airport(Mbeya)
Msalato International Airport(Dodoma)
Mwanza International Airport (Mwanza)
Yaani hii minyumbu tumeifunika kila sector
 
Kumekucha

Usitake nilete wakenya waliobaki mifupa tu Nairobi, turkana, marsabit, lamu, wajiir, pokot, mandera, Mombasa,, lodwaa,

Zile pictures huwa hata mimi zinanikifu ila ukitaka nitazileta huku in tones
 
Airports za Viwango Vya Kimataifa
JN International Airport (Dar)
AAK International Airport (Zanzibar)
Kilimanjaro International Airport
Songwe International Airport(Mbeya)
Msalato International Airport(Dodoma)
Mwanza International Airport (Mwanza)
Viwanja vingi ila kuna wateja wa kutosha, ndege za kutosha, kazi za kutosha?
Angalia hata UAE wana viwanja vya ndege 22 ila viwili ndivyo vinafanya kazi sana kuliko hivyo vingine vyote, AUH(Abu Dhabi) Na DXB(Dubai)... alafu hapo bado wanapata wateja hata huko kwingine tena wengi, sasa nyie jameni hata ni kujiliwaza tu. Kile cha Chato tu bado kazi yake haijaonekana, wakulima wanalilia waachiwe anga waanike mpunga na mazagazaga mengine ya shambani.... Ova n out! 🤣 🤣 🤣
 
Airports za Viwango Vya Kimataifa
JN International Airport (Dar)
AAK International Airport (Zanzibar)
Kilimanjaro International Airport
Songwe International Airport(Mbeya)
Msalato International Airport(Dodoma)
Mwanza International Airport (Mwanza)
Zile za kuanikia mpunga😂😂😂
 
Back
Top Bottom