Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkoa gn huo una udongo mwekundu? Umeanza kuokota picha, haya niambie Tz ya wapi hiyo
Babu katengezwe macho, udongo mwekundu uwapi hapo? 😂 😂 😂 😂 Hapo Dar Slums, fanya hivi ingia website ya SaveTanzania ujiangalilie pole pole. 🤣🤣🤣
 
gorofa tatu ya blue bado haitoshi unga. haiku make to the top ten list
2021_06_01_21.01.34.jpg
 
Huu unga upo KE? 😂 😂 😂 Labda border sababu unga ni Taifa wa MMM hapo ndio kitu cha ugali cha uhakika kinatoka! 🤣 🤣 🤣 Unga wa aflatoxin haununuliwi.
Aflatoxin inatokea wapi kwenye hizi advanced systems?

joycekmaro_1622571158217.jpg
joycekmaro_1622571319482.jpg
 
Those are not dream houses nyumba zinafanana kama madarasa ya shule isitoshe no privacy or nough space around the house
They aren't to you, coz you ain't loaded enough to afford to rent let alone buying a unit! 🤣 🤣 🤣
 
Kati ya makomandoo wanne waliotua...wawili tu ndo waliweza kutua salama
"What if they landed in front of alshabab " kuna mkunya kaandika hivyo nikatafakari sana. alshabab wangemfanya askari wa KDF big G wamle na gomba. hao makomando wamepitwa hadi na harmonize alitembea na kamba juu. hao kweli makomando au mgambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"What if they landed in front of alshabab " kuna mkunya kaandika hivyo nikatafakari sana. alshabab wangemfanya askari wa KDF big G wamle na gomba. hao makomando wamepitwa hadi na harmonize alitembea na kamba juu. hao kweli makomando au mgambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaskia hata paratroopers wanakufa wakiwa training za kila wakati huko ughaibuni pia, ajali haitabui wewe ni nani. Na sio mara yao ya kuanza kuruka, ndio kazi zao so sioni issue kubwa hapo. Ila ka umezoea movie, nakuelewa! 🤣
 
Back
Top Bottom