Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

For what? Hakuna mbongo wa kuwawaza level hiyo, unaishi Kenya ipi? Haujui Kenya ukisound kama mbongo au kutumia dialect ya kitanzania ndio unaonekana mjanja? Wakenya mnahangaika na swags za kibongo ili muonekane wajanja wala halina mjadala
Mtu mwenye anaongea Tz Swahili anaonekana mshamba ama muungwana asie jua mengi, lijama lyenye limezubaa zubaa😂😂, kumbe mnajidanganya hivyo😂😂., Kenya swag ni sheng ama slang, sio kiswahili, better English than hiyo Kiswahili yenyu inasound kama mtu wa ushago yaani wa kule mashambani 😂😂😂, eti gali instead of gari😂😂😂., Hongo Kongo instead of Hong Kong😂😂😂😂.,
 
Tanzania ni kubwa mara 10 ya Iceland na ina population ya 60mil wakati Iceland ni 300k

Akili ninyi hamna ndio maana mnachota kinyesi na mikono
Hatuongei population kilaza, maisha ya mbongo unaweza yalinganisha na jamaa wa Iceland. 😂 😂 😂
 
Hahaha haha... Hata hatuna haja, Sheng yetu tosha, inavuka mipaka sana. Hebu rudi ukalale, eti ni sound mbongo, ndio iweje vile. Kwanzo Kiswahili hicho cha ndani hakina ladha kama kilichochanganywa! 🤣 🤣 🤣
Kawashangae wakunya wenzio wanaoforce kuwa wa bongo mpaka saivi mnaimba bongo flava ili tu nafsi zenu ziburudike 😅😅😅
 
Tanzania ni kubwa mara 10 ya Iceland na ina population ya 60mil wakati Iceland ni 300k

Akili ninyi hamna ndio maana mnachota kinyesi na mikono
Hiyo stone age uliyosema, vipi kwa wajomba pia wao wamo???? 😂 😂 😂 😂 😂 😂


'Despite its small population, Iceland rightfully holds its place as a first world country'
 
Mturuki ameniudhi sana, kwanini awatapeli kaka zetu kutoka bongo angalia hio station umepost
Ukiwa mtumwa wa akili huwezi jitambua na mtapigwa hela sana na hao mnaowaita investors station hujengwa kutokana na mahitaji ya sehemu husika angalia mfano wa station ya UK hapo chini na UK ni uchumi mkubwa huwezi fananisha na Mavi ya kibera
20210601_111709.jpg
 
Ukiwa mtumwa wa akili huwezi jitambua na mtapigwa hela sana na hao mnaowaita investors station hujengwa kutokana na mahitaji ya sehemu husika angalia mfano wa station ya UK hapo chini na UK ni uchumi mkubwa huwezi fananisha na Mavi ya kibera View attachment 1804482
Wewe macho yamepofuka, hicho sio kibanda, ingia ndani uone. 😂
 
hivo ndo waTz wataona coz miji zao kama zote hazina cbd/downtown... dar, tanga, zanzibari etc. hio nilijua thru' our geography teacher.
any city with a defined cbd.. (even new york included), you'll never miss to see such scenes.
NB: (arusha is the only town in tz with a defined cbd, the rest are scattered buccrab!)
Yaaani newyork ukutane na huo ushubwada wa Nairobi????..yaani mizigo inawekwa juu ya gari,abiria wanapakiwa kwenye canter...hahahaa labda newyork ya mukuru kayaba
 
those are very petty negligible and minor mistakes my brother, then you must also bear in mind that in social media platform, we have some coded style of scripting!, for instance, i would rather say 'Hae dia', than 'hi dear' or gudnt than goodnight.
if we are to go the oxford way, i'll shame you pants down!, a grade2 dropout.
toa nyingine fala hii
Mbona uniji-quote mwenyewe na kujitukana mwenyewe..umeshachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom