Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands.... the largest business district in Africa
IMG_20210601_073214_151.jpg
IMG_20210601_073046_440.jpg


Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Simba FC? logo?

sorry, hiv huwa unajiona una akili kweli?
"Kw mkapa hatoki mtu hapa" wakati hata timu ndogo ndogo za kenya inashindikana kuzifunga[emoji1787][emoji1787]
Timu za tz kenya sana sana wanashinda kw penalties tu l
 
Ili Tanzania iwe Debt to GDP kama ya Kenya inatakiwa ikope kiasi gani. Na hizo Trillions Kenya atakuwa hajakaa akilia machozi ya Mbwa Pori
Ni pesa nyingi sana bro 🤣🤣 yani watalia kile kilio cha mbwa koko
 
Mchina kawasaidia sn kuongeza ongeza vijengo, mna kila sababu ya kumuuzia nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Peleka ignorance yako mbali. That's called foreign direct investment and Kenya leads in Africa in attracting FDIs just in case you didn't know. At the end of the day, pato la taifa linaongezeka wewe ukiendelea kupiga kelele hapo mwananyamala
 
Back
Top Bottom