ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Juzi ya raila, jana nyingine imeua watatu na leo nyingine tena 👇👇👇👇 Geza Ulole
Nunua yako tuone!Kuna umuhimu kuzuia hizi chopa chakavu kuingia anga ya Tanzania! Sidhani kama zinakaguliwa huko Kenya!
Naona walikuwa na mh. rais wa Burundi 👏🏽One of a kind on lake victoriaView attachment 1804405View attachment 1804406
Kwahiyo bora uchafu sio? Inaelekea mmezoea uchafu sanaTope haliko, afadhali...![]()
For what? Hakuna mbongo wa kuwawaza level hiyo, unaishi Kenya ipi? Haujui Kenya ukisound kama mbongo au kutumia dialect ya kitanzania ndio unaonekana mjanja? Wakenya mnahangaika na swags za kibongo ili muonekane wajanja wala halina mjadalaHuyo ni mtz mwenzenuuandishi tayari umemuumbua kw kutaka ku fake na wewe zuka hujielewi umechukua ukaleta huku..jf sio ya mazuzu
To be precise TownshipMji wowote duniani ambao hauna electric sgr au brt system huo mji uko stone age![]()
Kwahiyo bora uchafu sio? Inaelekea mmezoea uchafu sana
Iceland haina railway system yoyote, it's a first world nation hata hamwezi kujilinganisha kimaisha. Hiyo ni moja nimekuonjesha! 🤣 🤣 🤣To be precise Township
Kwani mturuki ndio ka design station zetu sisi tumempa kazi atujengee kama tunavyotaka kulingana na mahitaji na ukubwa wa sehemu husika. Kama mji hauna watu 3000 station kubwa ya kazi gani angalia station za Dar moro na dodoma. Ila nyie mmempa mchina aamue kilakitu ndio maana kawapiga kwenye mijengo mikubwa porini ambao hamna watu ili ku justify gharama tuu amka kijana.Mturuki ameniudhi sana, kwanini awatapeli kaka zetu kutoka bongoangalia hio station umepost
![]()
Hahaha haha... Hata hatuna haja, Sheng yetu tosha, inavuka mipaka sana. Hebu rudi ukalale, eti ni sound mbongo, ndio iweje vile. Kwanzo Kiswahili hicho cha ndani hakina ladha kama kilichochanganywa! 🤣 🤣 🤣For what? Hakuna mbongo wa kuwawaza level hiyo, unaishi Kenya ipi? Haujui Kenya ukisound kama mbongo au kutumia dialect ya kitanzania ndio unaonekana mjanja? Wakenya mnahangaika na swags za kibongo ili muonekane wajanja wala halina mjadala
Vibanda vya kujikinga mvua... 😂 😂 😂Kwani mturuki ndio ka design station zetu sisi tumempa kazi atujengee kama tunavyotaka kulingana na mahitaji na ukubwa wa sehemu husika. Kama mji hauna watu 3000 station kubwa ya kazi gani angalia station za Dar moro na dodoma. Ila nyie mmempa mchina aamue kilakitu ndio maana kawapiga kwenye mijengo mikubwa porini ambao hamna watu ili ku justify gharama tuu amka kijana.
Tanzania ni kubwa mara 10 ya Iceland na ina population ya 60mil wakati Iceland ni 300kIceland haina railway system yoyote, it's a first world nation hata hamwezi kujilinganisha kimaisha. Hiyo ni moja nimekuonjesha! 🤣 🤣 🤣