The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mkuu shebby lete mambo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo maana mmekubuhu kunywa chang'aa!Yeah, we understand, gongo si ni rahisi tu, hata 15 kwa elfu ya KE wapata! 🤣 🤣 🤣
Umeelewa chenye nimesema ama umerukia mashaza trako wazi tu! 🤣 🤣 🤣Ndo maana mmekubuhu kunywa chang'aa!
Tofauti ya yetu na yenu ni Kama usiku na mchanaInatofauti gn na SGR viaduct? Japo yetu ina muonekano mzr.View attachment 1801403
Cjui wanapata wapi ujasiri wa kujifananisha na cc, Nairobi bila make up huwezi ipost humu wkt mm napiga picha tu kwa simu yangu mahali popote napost humu na wala hakuna shida, ona wao sasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cjui unaongea makorokocho gn hata cjakuelewa.Tofauti ya yetu na yenu ni Kama usiku na mchana
*Haka kenu ni 1GB bana[emoji1][emoji1],
*Tena si barabara,,
*alafu inakatiza uswazi,yetu ni kwa CBDs[emoji7][emoji12][emoji12]
*Yetu ni 10km yenu ni 1km
Kwahyo kelele zote za hawa jamaa kumbe ni pabovu hiv 😂😂😂😂. Duh .!heb wakae kimya sasaCjui wanapata wapi ujasiri wa kujifananisha na cc, Nairobi bila make up huwezi ipost humu wkt mm napiga picha tu kwa simu yangu mahali popote napost humu na wala hakuna shida, ona wao sasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1801522View attachment 1801523View attachment 1801524
Uliuliza tofauti ya expressway na viadact yenu,,nishakupaCjui unaongea makorokocho gn hata cjakuelewa.
those are very petty negligible and minor mistakes my brother, then you must also bear in mind that in social media platform, we have some coded style of scripting!, for instance, i would rather say 'Hae dia', than 'hi dear' or gudnt than goodnight.broken english gani mimi.. toa ushahidi ata moja fala hii. uwivu wenu waTz tuwaitambua. sema haukuitimu chuoni na hauna kazi ya maana ndo hilo kakuuma sana. meza wembe basi
5 buses?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We nae ebu kanye mbele uko, ukijua yes no yes no teyari na wewe ushakuwa msomi au sio? Yn kiazi km wewe ufanye kazi serikalini hiyo serikali c itakuwa ya vichaa.those are very petty negligible mistakes my brother, then you must bear in mind that in social media platforms, we have some coded styles of scripting!, for instance, i would rather say 'Hae dia', than 'hi dear' or gudnt than goodnight.
if we are to go the oxford way, i'll shame you pants down!, a grade2 dropout
Ndioo mkuu ndo mnasifiri na kenge juu ya courier 🙂 nyingine hiyo hapoKenya bado wanapakia mizigo juu ya gari...!!???..hii maneno ilishapitwa na wakati zamani sana kibongobongo huwezi kuona hizo vitu hata kijijini
Wakunya mkubali tu mko nyuma yetu
Kwa hizi picha kama ni za Nairobi..basi Nairobi haipishani sana na Kampala..yaani hayo mazingira resembles to kampala
Andika kwa kingereza[emoji23][emoji23][emoji23]Umeelewa chenye nimesema ama umerukia mashaza trako wazo tu! 🤣 🤣 🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndioo mkuu ndo mnasifiri na kenge juu ya courier [emoji846] nyingine hiyo hapoView attachment 1801555[emoji3][emoji3]
Kenya ni mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1801558utaambiwa hapo sio CBD[emoji846]
Sikuenda shule! 🤐Andika kwa kingereza[emoji23][emoji23][emoji23]
na wee ushawai longa kwa kingereza ata siku moja!☝. masomo ya tz ni gushi. shahada ya tzii hauwezi fanya nayo Masters majuu coz haitambuliki. sio kama ya kenyareé.Andika kwa kingereza[emoji23][emoji23][emoji23]