Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Too many projects to keep up, tanzanians nguvu mnatoa wapi kujicompare nasi. james gichuru rironi highway

Screenshot_20210531-232135.png


Screenshot_20210531-232158.png


Screenshot_20210531-232537.png


Screenshot_20210531-232601.png

Screenshot_20210531-232622.png
Screenshot_20210531-232649.png
 
Wikipedia ambayo mnakesha mkibadilisha maandishi, hv wewe hujisikii aibu
Lete yako inayoonyesha ni tanzania
Mwenzako siku hyo kajitia kurekebisha wikipedia akaangukia puani..manake kila tukiingia kw sites tunakuta no changes
We unafikiria wikipedia ni kila kitu hubadilihswa..

Nakupa mtihani, ingia ubadili uweke somalia alafu urudi uone km ita save, mpka yesu atarudi hyo haiwezi badilika
 
sema hii wizara bana🤦🏽‍♂️.. hiv sio vitu vya kuongelea.. waongelee wanasanii wanafaidika vip na haki zao.. ujenzi wa viwanja au sports academies.. arenas.. wanawasaidiaje wana michezo katika michezo ya kimataifa
Wasingesaidiwa hizo Gold, Silver na Bronze zingekuwa hazitutambui. Nyie na viwanja vyenu vipya, vipi huko? Au tuwakopeshe wanaspoti? 😂
 
Very good tuje sasa kwende debt to GDP ratio
Tanzania GDP ni 63wacha kurudisha nyuma na kenya baada ya kupika ni 99

tanzania 32%
kenya 86%

bado tumtafute bibi nyau apige ramli??

kwanini musimkabidhi mchina expressway kwa miaka 30 ilikua ni lazma mufanye hvo
Ili Tanzania iwe Debt to GDP kama ya Kenya inatakiwa ikope kiasi gani. Na hizo Trillions Kenya atakuwa hajakaa akilia machozi ya Mbwa Pori
 
Back
Top Bottom