Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema hii wizara bana.. hiv sio vitu vya kuongelea.. waongelee wanasanii wanafaidika vip na haki zao.. ujenzi wa viwanja au sports academies.. arenas.. wanawasaidiaje wana michezo katika michezo ya kimataifa
ni moja kati ya wizara vichomi Tz,,,,


yaani huwa wapo wapo tu
 
Tanzanians watu hawaishi humu kwenye za aina hii, bongo mzee watu wanaishi ndoto zao, okay okay hii ni dodoma heb pitia hapa . . . Pita humu alafu ujifunze kitu, hii ni Dodoma uko alaf linganisha na maisha ya watu wenu wanaishi kwenye estates, tena uchwara kama hiz ulizopost wewe

Bongo mnaishi ndoto zenu wakati Dar yenyewe mmejaza uswazi kila corner!! Hizo ndio ndoto zenu?
 
Tz
20210515_002742.jpg
 
Heheheheee maneno ya kanga hayo, hakuna binadamu ambaye tumemzoea na kuishi naye km albino, inshort ni kwamba hizo story za albino huku ziliisha na hata akipita hapo mbele wala hatumuangalii mana tunaona ni mtu km wengine, mm binafsi nina rafiki albino so ukiandika huu upuuzi nakuona km fala.
Ziliusha wapi ni dikteta uchwara ndio alikua akiyafinika
FB_IMG_16212786255305710.jpg
 
Back
Top Bottom