Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
😀😀😀😀hayo mambo dar tulishatoka kitambo,,naona wenzetu bado wapo local
😀😀😀😀hayo mambo dar tulishatoka kitambo,,naona wenzetu bado wapo local
He's a FOOLKwani unathani Nyinyi Ndio mnaotanga pekee hii DuniaMaajabu,eti kuishi ndoto zao!!!
![]()


Huyo mke wa ndugai yupo kwenye system toka kipindi cha maguHuu upuzi Magu hakuutaka,hivi ikitokea wameharibu watawajibishwa kweli? Nakumbuka kids cha ATCL na mke mmoja wa waziri flani,shirika lilikuwa haliendi kabisa!
kapandishwa RAC ni mkubwa zaidi ya district commissioner!actually wote walikuwepo.. naona mama kama kawashusha chini..
Sasa unakuta mtu anamlaumu mama kama vile yeye ndio kawaingiza kwenye system!actually wote walikuwepo.. naona mama kama kawashusha chini..
Sawa mwanga, ila haitakuwa hivyo! 😬Mwakani tu hapo tunasubiri mungiki wakianza kuwachinja sie tunafunga border letu mmuane vizuri,ndipo utakapojua kama nyie ndio hamuaminiki
Makaa yana faida! 😎Kimya kimya makomandoo wetu hao wamehitimu mafunzo yao nchini nicaragua,hii,hapo naona kuna dogo letu burundi na dogo letu nunda rwanda,mungiki makomandoo wao wapo kozi ya kuuza mkaa somalia
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wamejua china amenunua kenyajoe biden still remembers his connection with kenya and won't allow china to buy kenyaView attachment 1803038
another chopper down
Na hio loss ya chopper unafkiri mutaeza fufua hio ushuzi 🤣🤣🤣🤣We know, It's a civilian chopper and there're no casualties only minor injuries. Pole kama uchawi wako haukufanya kazi!
Eti wanatafuta tender lamu port ya kupeleka vyakula na vitu vingine kwa kutumia usafiri wa punda 🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅 Inaonekana gari Kenya ni anasa sana
Yaani hawa watu wanaishi maisha ya mababu zetu kabisa, punda these days?
Watakwambia wapo mbeleni kwenye infrastructure 😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Naona miti pekee naks ina Stractures kama huoni hiyo shida yako puga
Hii imekaaje Geza Ulole