Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mama kuna jambo analitafuta,,,,ukiona hivyo inawezekana kuna watu wa mzee wa awamu ya JK anataka kuwapachika sehemu nyeti hivyo lazima azuge azuge kuwaweka hao wake,rafiki au waume wa viongozi wengine ili akianza kuwatupia wa JK asipate lawama aonekane kabalanceHuu upuzi Magu hakuutaka,hivi ikitokea wameharibu watawajibishwa kweli? Nakumbuka kids cha ATCL na mke mmoja wa waziri flani,shirika lilikuwa haliendi kabisa!

