Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipo shehe wangu ndo napakia mzigo kidogo
20210529_153931.jpg
20210529_155624.jpg
🙂🙂🙂
 
please and i still begg again and again..... hebu mushift frm Socialist/Communist (Ujamaa) to Capitalist (Ubinafsi).
hebu muone tu vile hizo systems mbili ilivyo separate hizi nchi mbili mara mbili kimaendeleo yani.. hii ni picha ya North Korea vs South Korea usiku kulingana na picha za NASA.. ona, vile Pyongyang ni ka dot tu, lakini south korea nayo!?..
👇👇View attachment 1798781
Broken hiyo hapo "I still begg"
Unasemaje,nikuoneshe nyingine
 
Back
Top Bottom