Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,788
Not a laughing matter but this deserves a LOL View attachment 1798297
Mpumbavu wenyu akipiga picha alipofika the most modern and -largest internatinal airport in East and central Africa!
Not a laughing matter but this deserves a LOL View attachment 1798297
I didn't expect anything tangible from you.unaongea vitu cheap sana hoja normal zisizo na mashiko,,,
chokoraa ni chokoraa tu
NAX VEGAS View attachment 1798540





hivyo vibanda hapo chini ndiyo huwa mnavificha hamvionyeshagi,,,Hamna zege humo wala udongo kama unavyojidanganya .. okay okay, siitaji maneno mengi kueleza hapo panafananaje, hii apa down town MASAKI 👇. Alaf utaniambia umeona hata chochoro ya barabara ambayo siyo paved..?
jiuwe tu,,huna faida duniani tutakuzika au kukuchoma moto kama wahinduI didn't expect anything tangible from you.
mkuu umeona NAX VEGAS hiyo pembeni kuna vikumba ambavyo huwa hawavionyeshi hawa wakunya
Chunya hiyo,vijana wa kibongo wakijidai kwenye mkeka,nje ua nrb ukuti mkeka km huo kamwe
That distance tu hakuna estate yoyote Nairobi yenye that huge size of area na bado hapo hata theluthi ya masaki hajacoverNaona mnajaribu kutengeneza tengeneza ila bado. Most are still unpaved.
Lol, wewe unajua area ya Karen wewe? 🤣🤣🤣 Use Google maps. Hakuna haja tusumbusne.That distance tu hakuna estate yoyote Nairobi yenye that huge size of area na bado hapo hata theluthi ya masaki hajacover
Ingekua ni estates za Nairobi umbali huo tayari angekuwa keshafika kajiado na matakoz😅😅😅
Inaumaee 😅View attachment 1798455penda usipende, hii ndio yoooote!... tanzania ina produce (1,513mw). source of this information ni UN
Wanunue kwa pesa gani 🤣🤣🤣 hio ndoto ya plot hawana itakua kununuaMnanunua au mnapangishwa nyosha maelezo mzee 🤔
Mm nihangaike na ww kwan mm kenya mgeni ama??🤣🤣🤣🤣 zinanunuliwa na wenye uwezo majority ndoto hio hamuna mpka dunia itasmamaUnahangaika sana kijana wa Tandale. Kubali hamna chochote hapo fishing village. Hata uzoom hadi utuonyeshe vumbi haitabadilisha chochote kwamba hizo sehemu mbili ni kama ardhi na mbingu.
Hii swali ya nani wananunua nyumba unauliza kila siku na nikikuuliza kama kuna watanzania wananunua hizo nyumba na sio wakenya unatoa povu. Nyumba zinanunuliwa na wakenya. Kama hakungekuwa na wanunuzi hazingekuwa zinauzwa in the first place. Ndio maana kuna siku nilikuuliza kama unajua kitu kuhusu market analysis but ulishindwa kujibu. Piga kelele utakavyo kutoka dreamhouse yako hapo Tandale but haitozuia wakenya kununua nyumba. They are there for sale and Kenyans will continue buying them