game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Proboxyani mtu anafunga safari kabisa anakuja dar na probox alaf anaongelea dream car



Proboxyani mtu anafunga safari kabisa anakuja dar na probox alaf anaongelea dream car



Huyu jamaa ni mjinga sana. Eti Karen kuna forest, na anasisitiza tu! Ameshangaa kuona ukubwa wa Karen ni mara sita zaidi ya ule mtaa wao bora zaidi ya apartments MasakiHuyo amefika Kenya amezurura Karen, wewe hujui hilo😂😂😂😂😂., anajua hakuna mkenya anaweza nunua nyumba kama si mwana siasa😂😂😂😂, heshimu huyu dogo semi illiterate 😂
Wewe ni wa kupuuzwa tu. Ushaletewa hadi picha za nyuma zikiuzwa bado unabishana tu. Ukiulizwa ni watanzania wananunua hizo nyumba pia hutaki kujibu. Sasa unatakaje bongolala?Na wanaopanga waliweza kununua??🤣🤣 au hujui majority wame rent au unataka facts nijibu labda unashida na facts
mm huna chakunidanganya labda munichukie kisa naanika chupi zenu 🤣🤣
Unataka kipimo ya TBC? Weka source yako inayoweka Tanzania mbele ya Kenya tuoneStandard charterd bank source??🤣🤣 Ndio wamekua na kipimo siku hzi
Aunt wako wa Mombasa asiwe anafanya kazi ya house girl maanake watanzania wamejazana huko Mombasa wanafanya kazi za nyumbani.Huku nilipo na jamaa wa kikunya najuana nao,miaka ya nyuma baadhi walikua wakirudi kunyan lazima waje dar kutembea,watafika kwangu hata kama nipo huku,wengine ufikia hapo kabisa,msa kuna aunt yangu yupo huko miaka na miaka kuna macousin wangu nrb,msa,mpaka lamu huko,sasa mimi nikawa kila nikienda msa wale wakunya wanaokujaga dar na kufikia kwangu hata kama mimi sipo dar nikiwa msa wananikwepa 🤣,wengine kama zali wanakua hapo hapo msa lakini tunakutana town au waje nilipofikia kwa ndugu zangu,aunt yangu akanishtua hao kwao kuko ovyo tofauti na unavyowadhania hawawezi kukuonyesha kwao 🤣🤣
Kijana wa Tandale, usiikosee Karen heshima yake. Hiyo ni mtaa tajika hapa duniani. Karen sio kama huo ushuzi wenu wa apartments kila corner. Apartments tumeachia Eastlands hapa nairobi.Unapoongelea ukubwa uongelee na density iliosimikwa ndio maana nakwambia masaki ni kubwa sana na iko more density au pia unabisha View attachment 1798720
Hii ndio definition yako ya market analysis? 😂 😂 Okay, you win!👇👇👇👇👇👇 Yakikusaidia chukua
Kitu husumbua huyu kilaza and a few other Tanzanians in this forum ni inferiority complex. Just that! If you are keen, utagundua kwamba hizi story zote huanza tu the moment we post organized residential areas and gated communities in Nairobi. Wanajua kwamba hawana hizo huko kwa so they are trying to paint hizi zetu black and white to bring us down to their level of dreamhouses.😂😂😂😂😂., Unajua sehemu ambapo shamba za hawa hayati ziko kweli? 😂😂😂😝., nilikuambia wewe ni semi illiterate, naona ukishuka hadi illiterate sasa😝😂😂😂😂., Moi mkulima, Kenyatta shamba zake kubwa ziko sehemu za pwani na ni undeveloped 😂😂😂😂😂., unajaribu kulazimisha fikra zako lakini wapi., So all organized residential in Kiambu, Thika, Machakos, Arthi River, Kitengela ni za Moi na Kenyatta., Pia Eldoret, Kisumu, Mombasa, Kakamega😂😂😂😂., Unatia huruma na kuleta aibu😂😂😂.,
Wananunua na pesa za kitanzania na wanunuzi ndio hawa hapaWananunua kwa pesa gani mzee?? Mm kenya huna chakunidanganya bro ww zungumza maswala mengine ila mambo ya ardhi na nyumba achilia kwa wenyewe🤣🤣🤣
Source from Professor HaroonWananunua na pesa za kitanzania na wanunuzi ndio hawa hapa
View attachment 1798863View attachment 1798864
Imagine this is Buru Buru.Anateseka kuona Kenya Kuna such organized estates, kwao anything like that ni ya rental😂😂😂., So a place like Buruburu ni rentals za mtu mmoja amekodisha watu😂😂😂🤣., Amekosa anything to measure up from their village city and outside sasa ni viji excuse 😂
Ulikuwa unataka source iwe wewe gwiji wa mathematics?Source from Professor Haroon
🤣 🤣🤣View attachment 1798869
Hujajibu swali,kunyan shilings na japan yen almost value yake iko sawa,kwa mujibu wa kunyan uchumi wenu vizuri sababu ya thamani ya currency yenu,so ndio nikauliza sababu pesa yenu inaendana na ya japan so uchumi wenu unalingana na japan?kuna nchi maskini sana lakini pesa yao ina nguvu kuliko yen
Bro acha kujiongopea ndugu, ijue kwanza dunia alaf ndio useme kitu .. okay okay, Mimi leo ntakuletea the third tier City in China that u have never heard of, it's bigger and more modern than many of US biggest cities u know.. mchongo unaitwa foshan city huu ni moja kati ya majiji 100+ in china and it has about 7m peaple 👇. . Alaf nataka kukwambia kwamba CHINA mfumo wao wa kiutawala ni Communism/socialism .. capitalism ni mfumo wa kiutawala uliofeli, China nowdays inaitetemesha dunia kwenye kila sekta.. unajua Siri ni nini.? Siri ni mifumo ya kiutawala.. nchi hazijengwi kwa mikutano na malumbano ya hoja bali kwa nguvu na jasho ..please and i still begg again and again..... hebu mushift frm Socialist/Communist (Ujamaa) to Capitalist (Ubinafsi).
hebu muone tu vile hizo systems mbili ilivyo separate hizi nchi mbili mara mbili kimaendeleo yani.. hii ni picha ya North Korea vs South Korea usiku kulingana na picha za NASA.. ona, vile Pyongyang ni ka dot tu, lakini south korea nayo!?..
👇👇View attachment 1798781
Njaa iko pale pale,at least sisi tuna afadhali lakini nyie ndio mna njaa ya kutishalakini hoja kuu hapa ni kwamba hela zetu zinatambulika hadi anga za juu.. Mastercard na Visacard wanatutambua atleast, lakini nyie kwanza hadi muzivibadilishe to dollars ndo mpate kutambulika..
1Usd=2,399Tsh😝😝
Njaa ile ya mombasa awe house girl kama wakunya walivyokua huku TZ house girls,gardener!nikija huko nafikia ratna au nyali we mama mkaa kwenye maslumAunt wako wa Mombasa asiwe anafanya kazi ya house girl maanake watanzania wamejazana huko Mombasa wanafanya kazi za nyumbani.
Hakuna Mkenya gardener Tanzania hata wee unajua.🤣🤣🤣Njaa ile ya mombasa awe house girl kama wakunya walivyokua huku TZ house girls,gardener!nikija huko nafikia ratna au nyali we mama mkaa kwenye maslum