ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Jibu swali zisipouzika investor anafanya nn?? Manake biashara ya kurent haohao wamikiki wanaipenda sana kwasababu inaingiza pesa za rent na bado estate inabaki kua yake 🤣 au mm nasema urongoooNdio maana kila siku nakuuliza kama unajua kitu kinaitwa 'market analysis and trends.' Siku utajua ni nini hutasumbuka kuuliza hilo swali tena.


