Njoo Nairobi nikuonyeshe nyumba za kununua utajidharau. Nyumba iliyojengwa na wataalamu halafu ukitazama nje barabara zimetengenezwa zikawa safi. Sio hizo vibanda zenu tacky alafu ukitoka hivi nje ya compound barabara ni vumbi tupu kitambo ufike town Mercedes yako imejaa vumbi inakaa yenye imetoka jangwani. 🤣 🤣 🤣
Bongo yenyewe zipo kibao,ni watanzania wachache ndo wananunua kwa sababu wengi wetu tuna uwezo wa kujenga house nzuri yenye kila kitu,kwa nini tununue!??..nyie ni masikini sana hamuwezi kujenga wala kununua nyumba,tunawajua ndo maana over 70% ya wanairobi wanaishi kwenye slum
Zinanunuliwa na nani??? Nani ananunua au unatuambia habari ya kurent ??🤣🤣🤣 na wamikiki wa hizo estates utaskia ni wale wale wa kila siku au mm nasema urongo
Wacha tuzoom sasa👇👇👇🤣🤣🤣 tuone kwann mzungu asiwe na akili
Bongo yenyewe zipo kibao,ni watanzania wachache ndo wananunua kwa sababu wengi wetu tuna uwezo wa kujenga house nzuri yenye kila kitu,kwa nini tununue!??..nyie ni masikini sana hamuwezi kujenga wala kununua nyumba,tunawajua ndo maana over 70% ya wanairobi wanaishi kwenye slum
Tanzania Portland Cement (Twiga Cement) has announced its intention to invest US$15m in an expansion and rehabilitation programme in 2021, according to the Tanzania Daily News.
For the past 10 years, the factory has been producing 1.2Mta of cement, but it has currently increased capacity to about 2Mta.
"Twiga Cement is doing well and we are happy for that, they have also thanked the government for better business environment despite the fact that there are small policy challenges which we are going to work on in collaboration with responsible institutions," said Danford Semwenda, factory senior commercial manager.
Tanzania Portland Cement (Twiga Cement) has announced its intention to invest US$15m in an expansion and rehabilitation programme in 2021, according to the Tanzania Daily News. For the past 10...
Njoo Nairobi nikuonyeshe nyumba za kununua utajidharau. Nyumba iliyojengwa na wataalamu halafu ukitazama nje barabara zimetengenezwa zikawa safi. Sio hizo vibanda zenu tacky alafu ukitoka hivi nje ya compound barabara ni vumbi tupu kitambo ufike town Mercedes yako imejaa vumbi inakaa yenye imetoka jangwani. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unategemea watu wajenge estate bila kuweka barabara..?,,,
we jamaa wa wapi ,mbona mshamba sana,,,,,
estate yeyote ile kwa asilimia kibwa lazima wenye project wajenge barabara aidha yenye rami au zege,,,
ndiyo maana nikakuambia ulete individual house tuone na chakufurahisha mwenyewe ukaleta ule uchafu wenye vijumba uchwala 15 na hakukuwa na rami yeyote iliyojengwa na government,na izo ni baadhi ya nyumba bado hamjaonyesha nyingine mlizozificha

The concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.
Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Bongo yenyewe zipo kibao,ni watanzania wachache ndo wananunua kwa sababu wengi wetu tuna uwezo wa kujenga house nzuri yenye kila kitu,kwa nini tununue!??..nyie ni masikini sana hamuwezi kujenga wala kununua nyumba,tunawajua ndo maana over 70% ya wanairobi wanaishi kwenye slum
Bongo yenyewe zipo kibao,ni watanzania wachache ndo wananunua kwa sababu wengi wetu tuna uwezo wa kujenga house nzuri yenye kila kitu,kwa nini tununue!??..nyie ni masikini sana hamuwezi kujenga wala kununua nyumba,tunawajua ndo maana over 70% ya wanairobi wanaishi kwenye slum
Swali lafaa liwe, mbona nijenge nyumba ovyo mahali pasipo na barabara nzuri na wakati nina uwezo wa kununua nyumba poa world standard iliyojengwa na wataalamu mahali palipo na barabara zenye lami, good sewarage system na kila kitu?
Ziko wapi? Halafu nitawezaje kununua nyumba high quality na nishindwe kujenga nyumba lower quality yet buying is more expensive than building? Hivi wewe una akili? Nilishakwambia kwa dream residential houses Dar haiwezani na Nairobi. Ebu nionyeshe Bongo mtaa wa kifahari wenye access roads zote nzuri zenye lami kama hizi. Nionyeshe moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unategemea watu wajenge estate bila kuweka barabara..?,,,
we jamaa wa wapi ,mbona mshamba sana,,,,,
estate yeyote ile kwa asilimia kibwa lazima wenye project wajenge barabara aidha yenye rami au zege,,,
ndiyo maana nikakuambia ulete individual house tuone na chakufurahisha mwenyewe ukaleta ule uchafu wenye vijumba uchwala 15 na hakukuwa na rami yeyote iliyojengwa na government,na izo ni baadhi ya nyumba bado hamjaonyesha nyingine mlizozificha
Unadhani siijui Dar wewe? Oyster Bay yenyewe haina access roads za lami. Hizo vibanda mlizopost hapa zote access roads vumbi tupu alafu tushindane? Ndio maana unainsist individual houses maanake hatutaona huo upungufu. Nikiamua kupost hapa individual houses hata from Kenyan villages pekee mtakimbia humu. Nimekuuliza nionyeshe mtaa mmoja Tanzania wenye access roads zilizo na lami zote kama huu hapa.

Fumba Town ya Zanzibar inayojengwa na Kampuni ya Kikenya is the only thing close to an estate with roads - alafu roads zenyewe tu ni zenye ziko within the gated community - outside hakuna access roads. 🤣🤣🤣
Cha kushangaza mnadiss mfumo wetu alafu tukiwaletea huo huo mfumo kwenu inakuwa ndio bragging point yenu. 🤣 🤣 🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.