Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.

Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? 🤣 🤣 🤣

Hizo ndio akili zao. Eti mtu amejijingea nyumba ya rooms tatu hapo Mwananyamala is living in a dreamhouse kuliko mwingine aliyenunua 5 bedroom mansion pale Runda. Insanity!
 
Hivi tuseme pia dream car yako utajitengenezea ama vipi? 🤣 🤣 🤣 🤣
Unachagua aina ya gari sio lazma ununue probox ndio uwe na gari 🤣🤣🤣🤣

dream house ni ile unajenga vile nyumba ww muhitaji unataka sio upange kwenye estate house alaf useme ndio dream house wala usilzmishe chai iwe soda
 
The concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.

Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? 🤣 🤣 🤣

Jenga nyumba ndo utajua utofauti mkubwa wa kujenga nyumba mwenyewe from the scratch na nyumba ya kununua...otherwise house haifananishwi na gari mzee
 
Huna house ndo maana hujui thamani ya house,unafananisha house na car?!..are you okay upstairs??!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio tu hana hata ile ndoto ya kumiliki plot nairobi hana kilicho akilini mwao ni kwamba ukiweza rent bedsitter basi ni middle class
 
Hii ndio inaitwa technical knockout 😂 😂 😂
🤣🤣🤣👇👇👇👇 na hii munaitaje
Unachagua aina ya gari sio lazma ununue probox ndio uwe na gari 🤣🤣🤣🤣

dream house ni ile unajenga vile nyumba ww muhitaji unataka sio upange kwenye estate house alaf useme ndio dream house wala usilzmishe chai iwe soda
 
Alaf kibera wanaishi watu weupe🤣🤣🤣
Jibu swali kijana. Unasema mzungu ana akili kisa kaleta picha za slums Kenya. Huyu mwingine ambaye ameleta picha za Dar na kuziita slums hana akili?
 
Jibu swali kijana. Unasema mzungu ana akili kisa kaleta picha za slums Kenya. Huyu mwingine ambaye ameleta picha za Dar na kuziita slums hana akili?
Kwani mulipokua munadanganya wazungu mlima kilimanjaro uko kenya walikua hawaamini???🤣🤣🤣 tatizo wewe uelewa wako ni mdogo sana

usilazmishe chai iwe togwa hilo haliwezekani mpaka dunia itasmama
 
chinese richest person, Jack Ma in kenya to establish Alibaba african headquaters in nairobi kenya!. infact it was a mistake for Dangote to go to tz,. kenya is the hotbed of foreign investments and perceived as the best alternative to south africa if you are thinking of tapping into the entire african marketView attachment 1796803View attachment 1796814
Utasikia amewekeza kiwanda cha barakoa Kenya.
 
Jenga nyumba ndo utajua utofauti mkubwa wa kujenga nyumba mwenyewe from the scratch na nyumba ya kununua...otherwise house haifananishwi na gari mzee
Njoo Nairobi nikuonyeshe nyumba za kununua utajidharau. Nyumba iliyojengwa na wataalamu halafu ukitazama nje barabara zimetengenezwa zikawa safi. Sio hizo vibanda zenu tacky alafu ukitoka hivi nje ya compound barabara ni vumbi tupu kitambo ufike town Mercedes yako imejaa vumbi inakaa yenye imetoka jangwani. 🤣 🤣 🤣
 
Nyumba za kununua ziko wapi hazionekani?? Au ni invisible ??😀😀😀 yani tajiri anakwenda kununua au kurent nyumba ndani ya estate alaf ukiulizia hzo estates wamiliki ni wakuhesabu alaf muwe na ndoto ya kumiliki ardhi labda dunia ianze tena
9BDF8812-DF24-4170-B265-700686648068.jpeg
 
🤣🤣🤣👇👇👇👇 na hii munaitaje
Kwa hivyo hizi nyumba mlizojijingea Dar ni bora kuliko hizi hapa za kununua Nairobi? Uko na akili ukweli wewe?

Za kujejijingea Dar
Screenshot_20210515-100338~2.png

Za kununua Nairobi
Screenshot_20210507-230155~3.png
 
Dangote hana lolote????...kuna mkunya yoyote anaweza kuukaribia utajiri wake??..huyo mtu tu wa USD 1 bill Kenya hakuna,halafu unamletea dharau dangote,jifunze kuheshimu watu boya wewe
Kwn tajiri ndio hawezi kuwa mpigaji
 
Kwani mulipokua munadanganya wazungu mlima kilimanjaro uko kenya walikua hawaamini???🤣🤣🤣 tatizo wewe uelewa wako ni mdogo sana

usilazmishe chai iwe togwa hilo haliwezekani mpaka dunia itasmama
Badala ya kujibu swali unatoa povu. Kilimanjaro imetoka tena wapi. Nataka tu kujua kama wazungu wengine ni werevu na wengine ni wajinga. Hiyo tu
Wale wa kusema nairobi kuna slum ni werevu lakini wale wa kusema Dar kuna slum ni wajinga
 
Twiga Cement to expand production capacity​

Twiga Cement to expand production capacity
19 April 2021

Tanzania Portland Cement (Twiga Cement) has announced its intention to invest US$15m in an expansion and rehabilitation programme in 2021, according to the Tanzania Daily News.

For the past 10 years, the factory has been producing 1.2Mta of cement, but it has currently increased capacity to about 2Mta.

"Twiga Cement is doing well and we are happy for that, they have also thanked the government for better business environment despite the fact that there are small policy challenges which we are going to work on in collaboration with responsible institutions," said Danford Semwenda, factory senior commercial manager.

Published under Cement News

Back
Top Bottom