komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jamaa si umepanic jamaniHzo lower middle class ziko wapiau zile bedsitter za kurent ndio wanaitwa middle class
acheni upupu kabisa nani anastruggle kujenga zaidi ya wale wale politicians, taasisi za serekali na wafanya biashara wakubwa bila kuwasahau investors
huku kwetu kila mmoja hupendelea kujenga nyumba kwa kutumia ramani yake na vile anataka sasa ikiwa top level wenu either ananunua nyumba ndani ya estate au ana rent pia coz hzo nyumba zipo kwa ajili ya biashara na hili linakuja kwasababu ardhi nairobi imeshikwa na wachache na hili hiwezi pinga mpaka kiyama![]()


Una makasiriko yasiyofaa aisee, kwhyo hutaki private developer aende katika mipango miji apewe ardhi ainue vitu vyake kw ajili kuwekeza alafu auze kw aliyeridhika pia hutaki


Runda hyo imejengwa, haya tuambie km hyo nyumba asilimia kubwa hawatotamani kuinunua na kuishi mzee..
Yani imejengwa katika eneo la kueleweka, then ina space ya kutosha..
Tatizo wengi wanaopinga hzo nyumba bei zake hawazimudu, km wewe tayari hyo bei mpka ukaafe hufikii



