Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo mzungu wako ni mwerevu lakini huyu mwingine ni mjinga sivyo? 😂 😂 Kilaza katikati ubora wake
 
Yani mzungu hawezi kua kichaa mark my words 🤣🤣👇👇👇 same area you posted mm nimefanya kuzoom tu 👇👇🤣🤣🤣
 
Huyo mzungu wako ni mwerevu lakini huyu kwingine ni mjinga sivyo? 😂 😂 Kilaza katikati ubora wake
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 narudi tena lazma munichukie tu hakuna namna


 
Wananichukia bure tu wengine wananitukana kabisa 🤣🤣🤣👇👇








 
Hahaa!!mjomba mwaka huu kuna mengi tutayaona kutoka kw vilaza waliopitiliza
Eti UN office iko Masaki!!! Wanatamini sana. Hii confusion yote and wishful thinking inaletwa tu eti kwa sababu mtaa wao bora zaidi ni apartments tupu! 😂 😂 Sasa wakaamua kuzipa hizo apartments kazi ndio zisionekane ni za mabwenyenye wao kuishi hadi zingine zinabandikwa as UN offices!
 
Tatizo lenu nyinyi ni washamba sana niliwaambia maisha ya huku hamuyawezi ndio maana huwez pata slum, mzungu mwenyewe kahangaika hakupata hio slum
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 1797586
Bongolala, there are only 4 UN offices in the entire world. Hizo ofisi nne zinapatikana Vienna, New York, The Hague na Nairobi. Usijitwishe mzigo huwezibeba
 
we dar unaijulia wapi ,,,hebu wacha pang'a ng'a za kichokoraa usikariri maisha,,,

dar kuna starehe na sehemu bora za starehe kuliko hako kamji kenu ,,hivyo utulie huwezi kushindana na mji wa kisasa dar ni modern city ,,,
hizo empire posh zenu zinazomilikiwa na wa,ungu hamna kitu apo
 
Kawaida hyo kidada kusanif chupa za waume zake, yani kwanza unaanzaje alafu kutoisanif manake huenda ikawa kigozi chako ni kinuko sasa unahofia chupi waume zako zisiambatane na uchafu wako ndio tusiujue uhalisia wako..

Upo dada!!
ha haaaa ,,,

eti upo dada,,,chokoraa leo umekosea njia
 
hizi Body za maBus zenu zote, Oil tankers, na maTrailer.... zooote ni 'made in kenya!'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungekuwa karibu ningekumwagia mavi ya kibera kisha ,,tungeanza kuongea...


kuropoka siyo kuzuri,,,

gari zinakuja mpya kutoka bandarini zaidi ya 400,,,,je mnafactory gani yakuzalisha body inayoweza kuzalisha body za magari zaidi ya 400 kwa short time,,,?,,

ongea kwa fact usiropoke, tuletee jina la hiyo factory inayounda body buses zaidi ya 400 kwa short time..[emoji1787][emoji1787]
 
Umeuliza swali nzuri sana na ningependa nikujibu. Mfumo wa nyumba moja moja na 'estates' as you call them (whatever that means) zipo pande zote just like you say. Kitu unafaa kuelewa ni kwamba Nairobi watu wengi huprefer kununua nyumba na pia kuna wengine ambao hujijengea zao. Most of these houses on sale zinapatikana in gated communities and apartments.

Tatizo ni kwamba mnakerwa tukileta picha za gated communities and apartments na sijui ni kwa nini. Kitu msichokijua ni kwamba hizo sehemu kuna watu wsmenunua nyumba zao kule. The moment mmeona tu picha za apartments ama gated communities hivi mnaanza stories za sijui investors, mara estates na mambo mengine mengi. Ama mtu ni lazima tu ajenge nyumba ndio awe homeowner? Yule ambaye amenunua nyumba kwenye gated community ama apartment hamiliki nyumba? Hili ni swali mnafaa kujiuliza na mjijibu.

Kuhusu nyumba moja moja ambazo mnasema hazipo Nairobi, hizi hapa ni baadhi tu ya maeneo ambayo nyumba kama hizo zipo. Sasa sijui hizi pia ni za 'investors' ama pia ni 'estates'!!

 
Hii chorus ya wazungu mbona tumeuzoea sasa. It's becoming boring now. Si huwa mnasema hata Nairobi yenyewe imejengwa na mzungu!
 
Hii chorus ya wazungu mbona tumeuzoea sasa. It's becoming boring now. Si huwa mnasema hata Nairobi yenyewe imejengwa na mzungu!
ndiyo mkenya hapo ni omba imba tu,,,,wakenya wengi huishia kwenye uchokoraa
 
ha haa ona sasa mlivyo rush,tukiwaambia kuwa nairobi bado ,inabidi mkazane mjenge ili muifikie dar mnaanza kubwabwaja...

na isitoshe umerudi kule kule kupost baadhi ya vimin estate...

pambaneni hiyo city yenu bado sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe alijisahau akapost Kibera akadhani ni Dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…