Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,137
- 17,871
Kwa hizo zote hii ndio umeona?Toka lini Nairobi ikawa hivi? 😅😅😅View attachment 1796366
Kwa hizo zote hii ndio umeona?Toka lini Nairobi ikawa hivi? 😅😅😅View attachment 1796366
Kuna asaki nyingine kando na hii ya apartments?Zimejaa zikwapi hebu tuoneshe unless masaki huijui wewe 🤣🤣🤣 nilikwambia masaki ni kubwa sawa na mombasa nzima sasa ndio ushangae hapo
Somo lipi? Kwamba wewe ni kilaza ama?Kumbe somo limeingia sasa 🤣🤣 sasa unakubaliana na mm 😂😂😂 nashkuru sana
Nchi maskini kuliko zote hapa EA inajulikana wala hiyo sio kitu cha kujadili. Kama hujui uliza world bankUjamaa unakua mbaya pale munapobiwa ukweli tu 😅😅😅😅 ila mkisifiwa uongo ujamaa unakua mzuri, ni aina gani ya maisha munaishi nyinyi
Kwann wachache wamiliki vikubwa sana na wengi wasiwe na ndoto kabisa hio ndio ile gap between rich and poor tunayoongelea hapa. Hvi ukikuta sehemu wengi maskini hawana hata ndoto ya kumiliki ardhi unafkiri ni maisha gani hayo yaliofkia
mkono mtupu haulambwi hebu njoo na view inayoonyesha hizo individual houses kama nilivyokuonyesha mimi...Wacha nikuelimishe kidogo. In Nairobi, most houses ni apartments. Hakuna mahali utaenda nairobi ukokosa apartments kando na mitaa za kifahari. Hizo apartments unaona kuna zile ambazo zinajengwa kwa minajili ya kuuza na watu hizinunua sana. Ama mtu akinunua nyumba kwenye apartment si homeowner? It happens even in the US.
Secondly, nyumba za chini kama hizo ulizopost pia zimejaa Nairobi. And just like apartments, hizi pia kuna zenye zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi. Kuna pia watu ambao wanajinunulia plot na kujenga wenyewe from scratch. We've given you so many examples here but shida yenu ni kwamba hamtaki kuona kitu kimepangika kiustarabu. Mkiona hivyo mnasema ni estate. Sasa mimi nashangaa estate ni nini kwani? Isn't it just a residential area?
Below are a few examples za sehemu kuna individual houses sasa sijui hizi pia 'estates’
Haya ni maeneo ya Utawala, Ruai na Syokimau kule Eastlands. Most people here wamejinunulia ardhi na kujenga nyumba zao
View attachment 1796326View attachment 1796327View attachment 1796329View attachment 1796330View attachment 1796331View attachment 1796332View attachment 1796333
Mimi 'huenda' ninakaa kwenye moja ya hizi mabweni hapaHatutawahi kufanana wazee wa kukaa kwenye mabweni na hamna choice
98% ya wakenya wanaishi humuMimi 'huenda' ninakaa kwenye moja ya hizi mabweni hapaView attachment 1796422View attachment 1796423
Utanilinganishaje na wewe unayeishi kwenye moja ya hizi six bedroom dream houses with jacuzi and basemen parking with air-conditioning?View attachment 1796419
Safi sanaMoshi town[emoji116][emoji116][emoji116]
Kwa bahati mbaya I had a hard time finding good aerial photos za hizo maeneo nilileta ie Ruai, Syokimau and Utawala. Most pictures I found ni individual houses tu that's why I resorted to give you Google Earth images to give you a clue. But now that you've asked, allow me to give you individual houses from the said areas.mkono mtupu haulambwi hebu njoo na view inayoonyesha hizo individual houses kama nilivyokuonyesha mimi...
pili hayo masuala ya mtu kujenga apartment na kuuza ni itu vya kawaida huku pia vinafanyika tunachokucheka wewe almost 100% ni estate
usipinge,,,
lete picha zinazoonekana kuhusu hayo maeneo pia uje na jina
Hiyo research ulifanya Gongo la Mboto ama?98% ya wakenya wanaishi humu
View attachment 1796436
Those private few uniform houses aren't enough for you all
Yani.... Noma Sana.crane [emoji911]
Tanzania ni shamba la bibiDangote anakuja kuwekeza kiwanda cha mbolea [emoji736]
Kenya ni choo cha bibi.Tanzania ni shamba la bibi
leta evidence! wacha kuskia jihakikishie!