It will take you forever to rejuvanatang those whole of youRejuvenating Nairobi slums
View attachment 1796653
Vitu gani labda slums tu 🤣🤣🤣Na bado hamtufikii kwa vitu vingi tu, that's a fact.😂😂😂
Hebu tuoneshe hzo appartment za mikocheni manake mm sizioni ?? Alaf nani alikwambia hapo ni mikocheni au umeshaanza kuchanganya dawa 🤣🤣🤣🤣Hizi apartments ni chache??!?
View attachment 1796374View attachment 1796375
Na zinafanya nini kwenye mtaa wenu wa kifahari kama si za mabwenyenye wenu kuishi? Sasa kama mabwenyenye wenu ndio wanaishi kwenye apartment kule Masaki sasa wewe mkazi wa Gongo la Mboto uswazini unatoa wapi nguvu ya kudiss apartment?
Sasa umekasirika au namna gani😄😄Somo lipi? Kwamba wewe ni kilaza ama?
Wamarekani wenyewe waliozaliwa kwenye huge mansions huko New York LA
Wanachanganyikiwa wakija Tanzania kutokana na mijumba ya kifahari na kwa bei cheap ilivyo sheheni
Saivi Tanzania inapokea thousands of black Americans wanaohamia Africa in a catastrophic frequency
Mbona imeingia middle income ilikuaje ikaingia without huge debts to GDP ratio🤣Nchi maskini kuliko zote hapa EA inajulikana wala hiyo sio kitu cha kujadili. Kama hujui uliza world bank
Nothing to show us rather than estate hakuna utatuonesha ukiulizwa nani anamiliki utaskia majina mawili matatu ya familia za politicians 🤣🤣🤣 na wanafanya nn pale utaskia wamerent nao ni middle classMimi 'huenda' ninakaa kwenye moja ya hizi mabweni hapaView attachment 1796422View attachment 1796423
Utanilinganishaje na wewe unayeishi kwenye moja ya hizi six bedroom dream houses with jacuzi and basemen parking with air-conditioning?View attachment 1796419