Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenikumbusha kuna video Fulani alitupia hapa ndani akifoka sana. Jamaa alikuwa anarap kwa hasira sana at the top of his voice! He's so full of hate and to some extent he's suffering from bipolar just like you put it. You can't be toxic 24 hours a day and forcing people to subscribe to your skewed reasoning all the time! To him, this thread is about life and death!
You may be surprised, some of the so called "literates" are just keyboard warriors, nothing to show off on their personal daily lives. They've been fed a lot of bullshit that they can't differentiate between facts and fictions.
 
Hatutawahi kufanana wazee wa kukaa kwenye mabweni na hamna choice
Mabweni yaliyo mjini, mabweni ya bei ya juu. Na bado watu wanaishi na kulipa bila tatizo. Usijaribu kujifananisha na mtu ka huyu hata siku moja. Yeye anafanya yote na bado ana survive mjini, wewe ulie nje ya mji na kajumba kako ka vyumba vitatu,not even well furnished, unaeza fanana naye? La hasha, hutomfikia, yeye pesa ishamzoea, kuishi hivyo sio kazi kwake? Ka rent wewe sasa huko Dar uptown! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
You may be surprised, some of the so called "literates" are just keyboard warriors, nothing to show off on their personal daily lives. They've been fed a lot of bullshit that they can't differentiate between facts and fictions.
Mimi siku hizi I chose to ignore their skewed ways of looking at things coz I know it won't change obvious and screaming facts. Ni wabishi tu naturally save for a few of them. Mtu kama Tuusan you can have a very good conversation with but most of them are just stupid
 
ni kweli kabisa hatujui,,,,ila leo mtajichekesha mpaka mjinyee....100% ya nyumba uliźopost zote zipo category ya estate huna cha kusema

nataka niwafunze
Let me assume that what you are saying is true, hizo 'estates' zinamilikiwa na watanzania?
 
Umenikumbusha kuna video Fulani alitupia hapa ndani akifoka sana. Jamaa alikuwa anarap kwa hasira sana at the top of his voice! He's so full of hate and to some extent he's suffering from bipolar just like you put it. You can't be toxic 24 hours a day and forcing people to subscribe to your skewed reasoning all the time! To him, this thread is about life and death!
So unfortunate.
 
leo nataka wakenya mjifunze na mjibu vitu kulingana na hoja husika,,,,
uchizi pelekeni kibera
 
Hatutawahi kufanana wazee wa kukaa kwenye mabweni na hamna choice
Unaoongea kuhusu mabweni wakati hizo hizo mabweni zimejaa mtaa wenu wa kifahari kuliko zote Masaki where you would expect to find decent houses. Nyinyi walalahoi mnasukuma gurudumu la maisha kwa shanties christened as dreamhouses alafu unadiss apartments wakati mabwenyenye wenu wanaishi kwenye hizo apartments kule Masaki!!! How funny!
 
I always say that ujamaa ulilemaza hawa watu big time. Yani they believe that mtu hawezi akajituma aboreshe maisha yake kivyake. Yani wenzako wakiwa maskini, wewe pia utakuwa tu moja wao coz huwezijituma. Wao wanashangaa kuona such big real estates being owned by individuals jambo ambalo ujamaa haikuruhusu. Charles Njinjo is a renowned businessman. Sasa akijituma aongeze angalau shilingi mia kwenye kapu lake kuna shida gani? Why must somebody take offence for his reaches wakati hakuzuia mtu yeyote kujituma na kujiendeleza?
Tz, ukiwa na mihela hivyo lazma uandamwe tu. Serikali yataka mle nyote nikama wao walikusaidia kuzitafuta hizo hela! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
swali gani halina kichwa wala miguu...

hata amiriki mkongo ,,neno estate haliwezi futika buda
Sasa kwa sababu hakuna mtanzania hata moja anayemiliki hata chembe cha hizo estates, tuliza kende na uzoee maisha ya dreamhouse yako hapo Dar
 
I always say that ujamaa ulilemaza hawa watu big time. Yani they believe that mtu hawezi akajituma aboreshe maisha yake kivyake. Yani wenzako wakiwa maskini, wewe pia utakuwa tu moja wao coz huwezijituma. Wao wanashangaa kuona such big real estates being owned by individuals jambo ambalo ujamaa haikuruhusu. Charles Njinjo is a renowned businessman. Sasa akijituma aongeze angalau shilingi mia kwenye kapu lake kuna shida gani? Why must somebody take offence for his reaches wakati hakuzuia mtu yeyote kujituma na kujiendeleza?
Ujamaa unakua mbaya pale munapobiwa ukweli tu 😅😅😅😅 ila mkisifiwa uongo ujamaa unakua mzuri, ni aina gani ya maisha munaishi nyinyi
Kwann wachache wamiliki vikubwa sana na wengi wasiwe na ndoto kabisa hio ndio ile gap between rich and poor tunayoongelea hapa. Hvi ukikuta sehemu wengi maskini hawana hata ndoto ya kumiliki ardhi unafkiri ni maisha gani hayo yaliofkia
 
Hakuna usawa bro ndio maana tukiwaambia muna maisha yakuzimu mujue ni kweli mkiambiwa kibera ina 2.5m people watu wanaishi maisha ya kinguruwe musikasirike
Wengi wamejenga either jv na investors kutoa nje au politicians wajanja na wale matajiri wakubwa sasa mkirent bedsitter munajiita middle class😄😄😄
Hata SA kuna slums na bado mtaionea paa ile nchi.... Sio leo wala kesho kuwafikia wale, and that's a fact Tanzanians! 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20210524_161453.jpg
 
I always say that ujamaa ulilemaza hawa watu big time. Yani they believe that mtu hawezi akajituma aboreshe maisha yake kivyake. Yani wenzako wakiwa maskini, wewe pia utakuwa tu moja wao coz huwezijituma. Wao wanashangaa kuona such big real estates being owned by individuals jambo ambalo ujamaa haikuruhusu. Charles Njinjo is a renowned businessman. Sasa akijituma aongeze angalau shilingi mia kwenye kapu lake kuna shida gani? Why must somebody take offence for his reaches wakati hakuzuia mtu yeyote kujituma na kujiendeleza?
Kumbe somo limeingia sasa 🤣🤣 sasa unakubaliana na mm 😂😂😂 nashkuru sana
 
Back
Top Bottom