Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mm naona bi dada 🀣🀣🀣🀣 ukibanwa kwenye facts munaanza kunichukia
Hatukuchukii dogo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajiaibisha tu na kujiletea dharauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kuna kipindi ulijidai msomi lakini hizi fikra zako ni very pedestrian πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatia huruma sanaπŸ˜‚., Ndio maana umejianika as semi illiterate., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., yaani kilaza kwa hizi fikra zako, hakuna wa kukuchukia bro., ni reasoning yako inachekesha kweli,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani uko ovyo ata kama unajaribu kutetea Tz, hautoshi kamwe, unatia aibu tu kwa mtu mwenye ana masomo ya chuo kikuu from Russia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
U see wanaojenga estates ni wale wale kama sio politicians basi ni mtu wa juu wa serekali either yuko jv ama alone πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡ Nicxie

07EE38FB-5319-4A8B-A23A-F863D398927F.jpeg
 
Hatukuchukii dogo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajiaibisha tu na kujiletea dharauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kuna kipindi ulijidai msomi lakini hizi fikra zako ni very pedestrian πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatia huruma sanaπŸ˜‚., Ndio maana umejianika as semi illiterate., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., yaani kilaza kwa hizi fikra zako, hakuna wa kukuchukia bro., ni reasoning yako inachekesha kweli,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani uko ovyo ata kama unajaribu kutetea Tz, hautoshi kamwe, unatia aibu tu kwa mtu mwenye ana masomo chuo kikuu from Russia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mm sitoi porojo natoa facts ukikasirika haya ukifurahi pia sawa lakini huu ndio ukweli na hakuna mtu atapinga. Mwengine anasifia kuona forest wakat anajua ni plot za watu 🀣🀣🀣🀣
U see wanaojenga estates ni wale wale kama sio politicians basi ni mtu wa juu wa serekali either yuko jv ama alone πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡ Nicxie

View attachment 1796241
 
U see wanaojenga estates ni wale wale kama sio politicians basi ni mtu wa juu wa serekali either yuko jv ama alone πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡ Nicxie

View attachment 1796241
Na akijenga ni vibaya? Anajenga ili auze au akodi apate hela maradufu. Hiyo ndo inaitwa biashara. Hivi nikuulize huko Tz, wengi wenyu mmejenga estates unazoziongelea kukaa wenyewe, ama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mostly they are driven by hate, jealousy and ignorance, wamelishwa propaganda kuhusu Kenya wakiona evidence wanapinga tu without any substance kwa ajili it does not agree with their skewed reasoning and corrupted mind., especially ichoboy01, jama ako na schizophrenia and he is likely suffering from bipolar, read his reasoning and argument, nimeanza kumuelewa huyu, he can't accept Tz is way below Kenya in many fronts., screaming facts atapinga so long as they don't agree with his skewed mindset, anashikwa na hamaki, signs of bipolar πŸ˜‚ and blind patriotism tu. Most Tanzanians ata kwa YouTube ni haters, they must have been hoodwinked by their politicians and clueless leaders.
Umenikumbusha kuna video Fulani alitupia hapa ndani akifoka sana. Jamaa alikuwa anarap kwa hasira sana at the top of his voice! He's so full of hate and to some extent he's suffering from bipolar just like you put it. You can't be toxic 24 hours a day and forcing people to subscribe to your skewed reasoning all the time! To him, this thread is about life and death!
 
Nilichogundua ni kwamba hamjui maana ya neno estate. Ondoa huo uchafu hapo juu inanipa kichefuchefu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 1796236
Akiekeza mtu either wa nje au ndani kazi yenu nyinyi munaojiita middle class ni kwenda ku rent 🀣🀣🀣 alaf munakuja panua pua zenu hapa
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mm sitoi porojo natoa facts ukikasirika haya ukifurahi pia sawa lakini huu ndio ukweli na hakuna mtu atapinga. Mwengine anasifia kuona forest wakat anajua ni plot za watu 🀣🀣🀣🀣
Tunaelewa ardhi yote ya Tz, ni ya serikali! 🀣 🀣 🀣 Poleni bhana!
 
Ukisema ujamaa kwanza hate unaiweka pembeni kabisa maana ya ujamaa maana yake ni kuishi maisha ya pamoja kusaidiana kwa pamoja ndio maana ya ujamaa, chuki inaanza kwenye kupishana kwa vipato na hate iko kenya kwasababu majority ni maskini alaf wachache ndio wameshika mpini

na mlivo wajinga hua munapenda kusifiwa kwa vitu hamuna ili muonekane muko mbali kumbe mambo kwa ground ni ushuzi wa popo bawa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mm nikisema hapa munanichukia kwasababu natoa siri zenu wengi walikua hawajui na mbaya zaidi chuki zenu zitanisaidia nn ??🀣
Reread what u have posted☝️☝️ uoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., si unaona hizi fikra?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani tu Bora u replyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, huwezi shirikisha ubongo, yaani hauna logic and critical thinking abilitiesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ubishi wa vijiweni tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

I give upπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na akijenga ni vibaya? Anajenga ili auze au akodi apate hela maradufu. Hiyo ndo inaitwa biashara. Hivi nikuulize huko Tz, wengi wenyu mmejenga estates unazoziongelea kukaa wenyewe, ama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hakuna usawa bro ndio maana tukiwaambia muna maisha yakuzimu mujue ni kweli mkiambiwa kibera ina 2.5m people watu wanaishi maisha ya kinguruwe musikasirike
Wengi wamejenga either jv na investors kutoa nje au politicians wajanja na wale matajiri wakubwa sasa mkirent bedsitter munajiita middle classπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Reread what u have posted☝️☝️ uoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., si unaona hizi fikra?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani tu Bora u replyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, huwezi shirikisha ubongo, yaani hauna logic and critical thinking abilitiesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ubishi wa vijiweni tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

I give upπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba hujui maana ya ujamaa 🀣🀣 hakuna ukabila kama nyinyi munachukiana kwa makabila nyinyi kwa nyinyi na je mtu wa nje yenu mutampenda ??😁😁😁😁

hata ukinikasirikia ww kasirika jichekeshe hapa kwa kuzuga lakini dawa lazma iingie πŸ˜€
 
Na akijenga ni vibaya? Anajenga ili auze au akodi apate hela maradufu. Hiyo ndo inaitwa biashara. Hivi nikuulize huko Tz, wengi wenyu mmejenga estates unazoziongelea kukaa wenyewe, ama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
I always say that ujamaa ulilemaza hawa watu big time. Yani they believe that mtu hawezi akajituma aboreshe maisha yake kivyake. Yani wenzako wakiwa maskini, wewe pia utakuwa tu moja wao coz huwezijituma. Wao wanashangaa kuona such big real estates being owned by individuals jambo ambalo ujamaa haikuruhusu. Charles Njinjo is a renowned businessman. Sasa akijituma aongeze angalau shilingi mia kwenye kapu lake kuna shida gani? Why must somebody take offence for his reaches wakati hakuzuia mtu yeyote kujituma na kujiendeleza?
 
Back
Top Bottom