Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu tajir sijawah kusikia kaenda kenya
IMG_1621858052.691798.jpg
 
Halafu hizo dream houses zake ni kama za lower middle class huku wenye wanastruggle kujenga. Yani mtu badala ya kuangalia quality ya nyumba anaangalia Nani kajenga. Hajui top economies mostly people buy houses. Na hapa Nairobi kuna options, ukitaka ya kununua ipo, ukitaka kujenga, unaweza.
Hawa ujamaa iliwaponza kabisa. Anadhani wanavyojenga dreamhouses hapo Dar then sehemu zote duniani hali ni hivyo hivyo. Hajui kwamba established economies watu hununua nyumba. Anasema nairobi watu hawamiliki nyumba tukimletea picha za nyumba zinaouzwa na bei zao anasema eti mkenya atoe shilingi milion ishirini wapi ya kununua nyumba! Sasa Mimi hushangaa hizi nyumba zinauzwa almost everywhere Nairobi ni watanzania wanazinunua?

Then he keeps mentioning estate. Eti huku nyumba yingi za kuuza ni za estates za investors wakenya ni wapangaji tu hawamiliki nyumba. Yani anaforce tufanane nao sana
 
You see again owner wa hio runda estate ni watu watatu wanamiliki estate yote hio wengine kazi yao ni kurent na utakua wanaorent ni matajiri wenu 🀣🀣🀣
Mm nikikwambia kitu ujue nakijua vzr ndani
View attachment 1796218

na njia ni zile zile najua unazijua 🀣🀣🀣
View attachment 1796219
Semi illiterate kajianikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti Runda is owned by three people,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , reading his idiotic thoughts into an article πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, reasoning uchwara., Karen sasa itakua ya mtu mmoja aliejulikana kama Karen BlixenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., so since they turned Runda into real estate they own it?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani bado unatapatapa tu tangu nikufumanie na upungufu wako wa kifikra?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unahara maneno tu😝😝😝😝,πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .,
Wacha kuangalia Kenya kupitia darubini ya umasikini wa Tanzania, hatufanani, wa pwani wa Tanzania ni masikini zaidi, afadhali wa baraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ona sasaπŸ˜‚ ,
 
Huyu kilaza atakuwa wa pwani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hajui wale jamaa ni waanzilishi tu, lakini nyumba ziliuzwa kwa watu binafsi na organizations. Pale ndani za ku rent ni kidogo sana especially za NGOs and other international branches.
 
Semi illiterate kajianikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti Runda is owned by three people,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , reading his idiotic thoughts into an article πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, reasoning uchwara., Karen sasa itakua ya mtu mmoja aliejulikana kama Karen BlixenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., so since they turned Runda into real estate they own it?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani bado unatapatapa tu tangu nikufumanie na upungufu wako wa kifikra?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unahara maneno tu😝😝😝😝,πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .,
Wacha kuangalia Kenya kupitia darubini ya umasikini wa Tanzania, hatufanani, wa pwani wa Tanzania ni masikini zaidi, afadhali wa baraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ona sasaπŸ˜‚ ,
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ sio mm unanilaumu bure tu mkiambiwa ukweli munakasirika sijui munataka kusifiwa kwa vitu hamuna
110FC20F-0425-45C7-90DB-D9900BF36847.jpeg

Semi illiterate kajianikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti Runda is owned by three people,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , reading his idiotic thoughts into an article πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, reasoning uchwara., Karen sasa itakua ya mtu mmoja aliejulikana kama Karen BlixenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., so since they turned Runda into real estate they own it?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani bado unatapatapa tu tangu nikufumanie na upungufu wako wa kifikra?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unahara maneno tu😝😝😝😝,πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .,
Wacha kuangalia Kenya kupitia darubini ya umasikini wa Tanzania, hatufanani, wa pwani wa Tanzania ni masikini zaidi, afadhali wa baraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ona sasaπŸ˜‚ ,
Zingumza na mm ukiwa na akili timamu nilishakwambia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Back
Top Bottom