Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hzo ni nyumba za watu waka kati na watu wenye pesa ziko umbali wa kuanzia km 20 na kuendelea kutoka CBD 🤣🤣🤣 hebu na wewe tuoneshe sasa
Msaidie dadako The best 007 kuleta jina la eneo na aerial, 😂😂😂 tukianza kupost nyumba moja moja huu uzi utafungwa.
 
Tatizo umepanic unaanza kuokota picha, ngj nitulie nikuumbue na hizi picha ulizoweka uki claim ni za Tz
Hii Dar yenu mlianza kuikana mwaka juzi na bado mnaikana hadi wa leo. Hamchoki? Aren't you people proud of the city you live in and your so-called dreamhouses? Uzuri ni kwamba the internet never forgets
Screenshot_20210523-235025~2.png
Screenshot_20210523-235039~2.png
Screenshot_20210523-235101~2.png
Screenshot_20210523-235147~2.png
Screenshot_20210523-235214~2.png
Screenshot_20210523-235307~2.png
Screenshot_20210523-235334~2.png

Be proud of what you sow
 
How can we compare two cities there's no single time any city will be like the other.
Accept Nairobi's concept on greenary. Remove your mind that Nairobi is just KICC
View attachment 1795930
Huna chakuinesha zaidi ya appartments na building offices + estates zinazomilikiwa na wachache 🤣🤣🤣

mm nakuonesha majumba yanayomilikiwa na mtu mmoja mmoja kwa ndoto zake👇👇👇

87829746-1483-41B3-91A3-A096A2F1BF3D.jpeg
0F6892D4-7834-4F77-A689-509CBAB91C42.jpeg
 
Hii Dar yenu mlianza kuikana mwaka juzi na bado mnaikana hadi wa leo. Hamchoki? Aren't you people proud of the city you live in and your so-called dreamhouses? Uzuri ni kwamba the internet never forgets
View attachment 1795943View attachment 1795944View attachment 1795945View attachment 1795946View attachment 1795947View attachment 1795948View attachment 1795949
Be proud of what you sow
Hebu tuambie hayo maeneo yanaitwaje sisi tukusaidie kuleta picha nzuri na bora kwakukusaidia ww na kuwasaidia wakenya wenzio ukipata majina naomba unitag mm
 
Hii ni ruai na ni estate au mm ndanganya kunachouzwa hapo ni moja ya jengo ndani ya majengo yaliondani ya estate🤣🤣🤣👇 tatizo lako ww unahasira sana just cool down elewa swali alaf jibu kwann unapanic budaaView attachment 1795927
Si hii ndio ile Ruai ulikuwa unasema hapa ni slum? 😂 😂 😂 Unaona panafanana na zile dreamhouse zenu za Gongo la Mboto?

Shida yako ni kwamba hutaki kuona gated communities. Kuna wakati nilikuambia kwamba huo mfumo iko kila mahali Nairobi, hadi the so-called slums. Those gated communities mtu unaweza uziwa nyumba ama ardhi ujijengee nyumba yako as long as you follow building rules and guidelines. Ki ufupi ni kwamba it is a controlled-development area. Huwezijenga shanty yako hapo useme unamiliki dreamhouse na pia huwejikubaliwa kuenja apartments. Ni nini tena hujaelewa bongolala
 
Back
Top Bottom