Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ndiyo hizi hapa nyumba wanazoishi Watz wa kawaida au hamtaki? Kwn wenzenu wanaporudi huko kwenu hawawaambii ukweli vile mTz wa kawaida anaishi, ona dream houses with no slums [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664][emoji205][emoji86][emoji85][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji2781][emoji706]View attachment 1795431View attachment 1795432View attachment 1795433View attachment 1795434View attachment 1795435View attachment 1795436View attachment 1795438View attachment 1795439View attachment 1795440View attachment 1795441View attachment 1795442View attachment 1795443View attachment 1795444
Hzo ndio nyumba za middle class dar[emoji1787][emoji1787]
 
Mm nina kazi yakukulisha ww na familia yako miaka 100 so jaribu kua na adabu hasa kwa mtu humjui [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu mchezo hautaki hasira kabisa
Kwn we ndio unanijua, hata mimi pia nina uwezo wa kuwalisha watanzania wote..
Usichezee watu usiowajua weye.
 
Hawa ndio wanashindana na dar 🤣🤣🤣👇
54648A79-5926-4B90-800F-A9D90BEC73CC.jpeg
633EC4EB-CCE2-4D4C-961B-949F3A1DF18D.jpeg
99B45697-D0C2-470E-A5B1-4EFFDCD03B62.jpeg
856C9334-6D95-4733-9963-BCE7D7C27682.jpeg
 
Kwn we ndio unanijua, hata mimi pia nina uwezo wa kuwalisha watanzania wote..
Usichezee watu usiowajua weye.
Sasa nani kaanza kumwambia mwenzie atafute kazi yakufanya au unanichukuliaje? Au unachuki zako binafsi na ichoboy??😁 tulia bwana mdogo kua mpole kabisa
 
Jengeni kwanza mupate density ya kushindana na dar, nusu ya nairobi ni misitu swali linarudi ni milki ya nani hio misitu kwann watu hawana ndoto ya kupata plot nairobi?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia🤣🤣🤣
Kwa hivyo hata Johannesburg pia haijajengwa?
images(72).jpg
images(70).jpg
images(77).jpg

Wewe na yule kilaza mwenzako ni mwehu tu
 
Soma swali vzr alaf jibu kwa uangalifu 🤣👇
Nilikuuliza unataka nikuletee picha ya nyumba, quantity surveyor, contractor pamoja na jina ya mwenye nyumba hadi na number zake za simu ndio ujue kajenga kulingna na ndito zake hukunijibu. Wewe akili yako huwa inapiga laps kidogo
 
Nikuulize swali kwann nusu ya nairobu ni misitu ??? Unaeza nijibu hilo swali kwa umakini wa hali ya juu??🤣🤣🤣🤣
Nusu ya Nairobi ni misitu kwa sababu zaidi ya nusu ya Dar ni uswazi
 
Sasa nani kaanza kumwambia mwenzie atafute kazi yakufanya au unanichukuliaje? Au unachuki zako binafsi na ichoboy??[emoji16] tulia bwana mdogo kua mpole kabisa
Kuwa na chuki na mtu km wewe hyo itachukuliwa km upungufu wa akili
 
Wakati wa Magu nilikuwa siwazi sana mpunga .. ila sa hizi najiona suddenly nawaza sana were are gonna get 2.5 bil usd ..but i believe hadi maza anaondoka tender itakuwa tayar and part of it itakuwa loan

anaondoka? kwenda wap? lin?
 
Tutapiga makelele hapa ila Dart ina management mbovu na ndo wanao cost mwendokasi inabidi company ziwe mbili kuwe na competion
UDART ndo wana management mbovu hawajanunua mabasi ya kutosha halafu wametibua mfumo wa epayment!
 
Back
Top Bottom