Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si hii ndio ile Ruai ulikuwa unasema hapa ni slum? 😂 😂 😂 Unaona panafanana na zile dreamhouse zenu za Gongo la Mboto?

Shida yako ni kwamba hutaki kuona gated communities. Kuna wakati nilikuambia kwamba huo mfumo iko kila mahali Nairobi, hadi the so-called slums. Those gated communities mtu unaweza uziwa nyumba ama ardhi ujijengee nyumba yako as long as you follow building rules and guidelines. Ki ufupi ni kwamba it is a controlled-development area. Huwezijenga shanty yako hapo useme unamiliki dreamhouse na pia huwejikubaliwa kuenja apartments. Ni nini tena hujaelewa bongolala
Unakwepa swali langu???🤣🤣🤣 kwanini hutaki kujibu swali langu au ni lamoto jibu swali langu alaf niulize sasa

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Nioneshe majumba ya matajiri wa nairobi ambayo wamejnga kwa kutumia ndoto zao mm nakwamhia ukipata nitag mm
 
Huna ata aibu, number plate za zamani hizo, umeleta picha za mau mau hapa? 😂 😂 😂
Hata mm naona za zamani 🤣🤣👇
9502EB43-AFEC-4780-850C-A5AEEC66A789.jpeg
2C693F1E-46A8-4B5E-B4E9-1AD7848C7DE8.jpeg
72267978-935F-4E89-A949-9B770EF3C3C4.jpeg
A4BEADEB-BD97-49CE-9F9F-0B7A6B025443.jpeg
D72036CD-4D2B-424C-B966-5892931D1DB0.jpeg
 
How can we compare two cities there's no single time any city will be like the other.
Accept Nairobi's concept on greenary. Remove your mind that Nairobi is just KICC
View attachment 1795930
Yani wanataka tukae kama wao. Wanachukia greenery ya nairobi just because they have uswazi everywhere. They don't understand that Nairobi si lazima iwe kama Dar and Dar si lazima iwe kama Nairobi. These are two different cities with different concepts, ideologies and priorities. They have their uswazis, we have our greenery. Let's move on!
 
Unakwepa swali langu??? kwanini hutaki kujibu swali langu au ni lamoto jibu swali langu alaf niulize sasa


Nioneshe majumba ya matajiri wa nairobi ambayo wamejnga kwa kutumia ndoto zao mm nakwamhia ukipata nitag mm
Majumba gani hayo yaliyojengwa kw ndoto dar
We mzee si ni wa kupuuzwa, wanaochora plans si ni architect alafu wapanga miji wakisema hapa tunataka formular we nanai wa kupinga..
We wajua sai mombasa kuna sehemu huwezi jenga unavyotaka wewe mpka ufuate protocals za wapanga miji
 
Unakwepa swali langu???🤣🤣🤣 kwanini hutaki kujibu swali langu au ni lamoto jibu swali langu alaf niulize sasa

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Nioneshe majumba ya matajiri wa nairobi ambayo wamejnga kwa kutumia ndoto zao mm nakwamhia ukipata nitag mm
Nilishakujibu kwamba matajiri hawapo Nairobi. Ama hiyo si jibu?
 
Back
Top Bottom