Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njoo u edit hku basi ndio tukuelewe vizurihuenda ikawa akili ilikua faster kushinda vidole wakati wa ku type..

Kiporo chakoView attachment 1790749
Sasa we si unaona mtu katoka bongo anakuja hapo kwenye road zenu anakuta utopolo,yaani ndinga zoote bei zao haifiki hata nusu ya chuma cha mtz..huo ni unyonge,magari yenye plate za Kenya hata huku yapo
 
Mzee rudi kwenye mada 🤣🤣🤣 ww hutamani kua na nyumba nairobi hebu ongea bila hasira na mawazo najua ni ndoto hebu ifanye ndoto kama kwei nijibu plz😁😁😁
Mzee makao yangu ni mombasa, muulize dadako The best 007 anapajua nilimwonyesha picha😂😂😂 unadhani naishi uswazi kama wewe😁😁
 
Chill out, why you beating your chest over people's properties.
Visit Westlands I'll treat you for lunch one of this days
Nakubali madhari mzee
Screenshot_20210519-140957_Video%20Player.jpg
Screenshot_20210519-140942_Video%20Player.jpg
 
Wakenya wanapenda ufahari na huku hela hawana..tukianza na

1.bwana mapesa teargass a.k.a Freemason
2.kuna yule mwingine mzee wa buggati,yaani jamaa ana hela hadi anaweza kununua Bugatti na kuichoma moto
3.mwingine kajitokeza leo ananitisha na lunch huku ukiangalia gari alioposti hapo juu hata kuifanyia service inamtoa jasho..damn!!

Wakunya hamna maisha ya kutushinda wabongo,hilo msahau
 
Sasa kajilipua 😂😂😂 ushakubali nairobi imepanuka mpaka kiambu😂😂😂😂 kizungu panaitwa metropolitan region, rudia tena metropolitan regionView attachment 1790748
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 kumbe hujagosea
Kumbe ni county zina mbunge wake zina bunge lake zina gavana wake zina mgao wake kwenye serekali kuu au
30D851D9-DEE1-4F05-AB20-3D72D20BB0DD.jpeg
979A5597-4B43-4089-B167-8067653E2E5C.jpeg



Rudi kwenye mada nairobi city center ndio mada rudi kwenye mada 🤣🤣
 
Mzee makao yangu ni mombasa, muulize dadako The best 007 anapajua nilimwonyesha picha😂😂😂 unadhani naishi uswazi kama wewe😁😁
Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi 🤣🤣🤣👇👇👇👇
Mada hapa ndoto ya wakenya wa nairobi hawana ndoto wala malengo ya kumiliki ardhi nairobi na pia kurent bedsitter haina maana kwamba mtu anakua middle class hakuna kukwepa mada hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣


landa kubwa nairobi ina milikiwa na politicians, taasisi za serekali na matajiri wachache sana

Hii ndio mada 👆👆👆👆👆👆🤣🤣
 
Back
Top Bottom