Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikikamilika hii Wakenya mtalia..Ubungo
IMG_20210519_104253.jpg
BRT station
 
akikaa kimya katika hili nitamuona zoba.. akilikemea nitamuona ana akili na anajali
Ati Vodacom imepata hasara! Mbona enzi za mwendazake hasara haikuwapo? Au kwavile wamekataliwa kuongeza bei ya data?
 
Japanese is driving Kenyas legislature like a miserable donkey

The whole parliament is sitting to exempt taxes from all Japanese investments in Kenya, what a stupid and failed state 😅😅

Yaani bunge linavunja sheria yake ilioitunga ya kodi just for Japan, so cheap



Baada ya kushindwa ku-improve investment conditions with superior infrastructure wanawinda makampuni ya Japan ya-invest Kenya kwa offer za kipumbavu! Sasa kama hili ni zuri kwa uchumi wa Kenya unaokopa ku-finance budget, sijui!
 
We mpumbavu nn, yn village development unaonesha road, ss ulitegemea gari za kutoka mjini kuchukua mazao etc zipite wapi km co kujenga hizo road? Mm nioneshe miradi ya maji, stima, hospitals, recreational parks etc zen hapo nitaamini kweli pesa imetawanywa equally, ss unaonesha road
Hapo si village hapo ni northern kenya anayo ilikua deserted sasa new tourist attractions zimezinduliwa huko kama chalby dessert na dessert safari
 
Back
Top Bottom