Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hii waikua wanafananisha na uchafu fulani unaitwa kisumu 🤣🤣🤣🤣 a.k.a baiskeli taxi
Kisumu ya sasa ndo hiyo na inaendelea kujengwa arusha haiwezi karibia kisumu. town za kenya sasa zilianza kupewa hela zote soon hata town ya kijiji kenya itafikia city tanzania

aqua-pool-bar-and-grill.jpg


20151228-111726-largejpg.jpg


acacia-premier-hotel.jpg


images (22).jpeg


images (20).jpeg


images (21).jpeg


images (19).jpeg


wigot-gardens-exterior.jpg
 
Did you first know the economic value ya wao kufanya hivo kabla ya kuanza tu kupayuka???? Kitendo hicho kitaleta more good than bad sa zingine si kupost tu sababu lazima kupost tujaribu kuwa wakweli na kuongelea mambo ambayo yatatusaidia
So kua na akili ya kurithu nyumba ya ukoo ushagoo ndio akili mlionayo wengie ama??😅
Nyumba hio hio ina warithi mia tatu wenye akili kama zako
 
Mlitudanganya kwamba mikataba zote zilikuwa zimetiwa saini mwezi uliopita. Ona sasa mnavyoumbuka. Kumbe hamkuwa mumetia saini mikataba zote?
Tanzania had requested for a postponement of signing in Kampala to allow to raise her stake in EACOP from 5% to 15%! Try to go through the clip by TPDC, it was well explained by Dr. Matarajio!
 
Kilaza anafikiria jubilee ni CCM ya propaganda, hapa tunaongelea private housing kilaza ako kwa jubilee, jubilee hai husiki na mfumo wa SACCO 😂😂😂😂.,ni initiative ya watu binafsi😂😂😂, nitakufunza by force by fire 🔥🔥😂😂😂 Tanzania ni masikini kweli, umeumwa leo, pole sio kupenda kwangu, Sikuchukii, sikujua huu ukweli utakutesa, na post yangu ilikua tu kuwajuza tu ukweli, mimi ni facts nilikua naleta tu, kama nimekosea mtu nisamehewe jameni😂😂😂 ,😂😂😂😂.,
Boda boda housing..,
View attachment 1790676
Niliwacheki hawa jamaa wa boda, mchezo mchezo, sahi wana magheto ya kishua
 
Mlitudanganya kwamba mikataba zote zilikuwa zimetiwa saini mwezi uliopita. Ona sasa mnavyoumbuka. Kumbe hamkuwa mumetia saini mikataba zote?
Ile ilikua upande wa uganda sasa inakuja upande wetu mbona unahsira sana tony kwann hvo bro 🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uliwacheki wapi ??
Staki fujo, kama huelewi nazungumzia nini, tulia na ule kitimoto taratibu.. 😂
"From an initial daily savings of Ksh. 50, boda boda operators in Nanyuki town, Laikipia County, became the proud house owners in a project worth Ksh. 95 million."

NB;waendesha boda boda wa huko wanapiga miradi kama hii? 😂
 
Staki fujo, kama huelewi nazungumzia nini, tulia na ule kitimoto taratibu.. 😂
"From an initial daily savings of Sh. 50, boda boda operators in Nanyuki town, Laikipia County, became the proud house owners in a project worth Sh. 95 million."
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nanyuki, laikipia kweli jamani tunazungumza dream za kimjini ww unatuletea mambo ya ushagoo bro are u even serious
 
Back
Top Bottom