Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Heeh Mmefika huku!Prove kama upo kazini. Mimi najua upo uhuru park free WiFi. 🤣 🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🙆♂️
Heeh Mmefika huku!Prove kama upo kazini. Mimi najua upo uhuru park free WiFi. 🤣 🤣🤣
Jamaa si unajua kumuumiza huyo chothara la manzese[emoji23][emoji23]Lazima tukufunze[emoji23][emoji23][emoji23], je unamjua huyu ni naniView attachment 1790794
Pole sana kw kuumia, mbona uteseke kiasi hicho jamaniKwenye mitaro kimeganda tope mpaka vichaka vimemea msitu, Nairobi ni chafu hakuna mfano
Tukiwaambia wanabishaa [emoji848]
MafukaraKwani dar hakuna mafuriko, pinga kama wewe ni dume😂😂😂
We mpumbavu nn, yn village development unaonesha road, ss ulitegemea gari za kutoka mjini kuchukua mazao etc zipite wapi km co kujenga hizo road? Mm nioneshe miradi ya maji, stima, hospitals, recreational parks etc zen hapo nitaamini kweli pesa imetawanywa equally, ss unaonesha road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watanzania wakizubaa na nairobi na dar wanasahau kenya unatumia ugatuzi sasa, hela inagawanywa kwa kila mji relatively, pesa haibaki nairobi sasa. ndo maanake hadi dessert areas za kenya sasa zimeanza kuinuka. sasa hatushuglikii miji kadhaa tu bali miji yote miaka Kumi ijayo kila town itakua kubwa ya kujisimamia si lazima Nairobi ndo maana picha kama hizi za development hadi kwa jangwa mtazidi kuziona sana. sasa hivi I cant engage in watu wanaonyeshana eti mvua imemwaga uchafu kwa street, its below me na haiongezi maarifa
View attachment 1790147
View attachment 1790148
View attachment 1790149
View attachment 1790150
Hatari baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iko wapi au unadhani upo nairaland[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BRT tushaanza kujenga sasa meaning tutakua na pimped out buses, boring brt buses, na rapid train.... who is laughing now [emoji16]
Akikupa jibu hiyo weekend nitag, hawa Wakenya kuwa nao makini mkuu, natumai nmeeleweka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah, probably uchafu umejaa au filter imeisha.. hivyo air haifiki vizur ndan, hivyo kusababisha ukosefu wa hewa ya kutosha ndan ya engine..
Hii picha kiboko sn, kukosa hilo basi na zile twin towers wala nisingejua km ni Dar.
wakenya waendelee kutojieleea hivyo hivyoNairobi bedsitterz (middle class [emoji1787]) take a lesson of having your own home from Dodoma
New upcoming neighbourhood
Hapo umewafafanulia wameelewa sasa, unajua Wakenya twendeni nao taratibu mana wana elimu ya kukariri mno, "ceteris peribus" yn wkt huyo boda boda analipa hiyo pesa asiumwe, asisomeshe, asilipe rent, asikarabati boda boda yake, asitunze wazazi wake, ila ujue nn Wakenya wana akili mbovu sn usikute kuna boda boda wameingia huo mtego, kina choco reborn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mm nimekupigia hesabu za dukani tu a week bodaboda anatakiwa apeleke 1000ksh
Ukipiga kwa mwezi ni 4000ksh ukipiga kwa mwaka ni 48000ksh kumbuka ninhesabu za dukani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukipiga kwa miaka 7 ni 336,000ksh wakat kashamaliza muda wakulipia na bei ya two bedroom ni 700,000
hapo bodaboda hajaugua, hajala, hajalipa kodi, hajaweka mafuta, hajalipa social services, hajahonga mpango wa kando, hajasomesha watoto etc na inflation is over 5% [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ukitumia hesabu ambazo haziymizi kichwa ndoto ya kununua nyumba haipo na haitakuwepo mpaka dunia inasmama na ndio leo nimeamini kwann maskini atabaki maskini na tajiri atabaki tajiri
Duuhh alooo.
Za upande upande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]humu watakuonyesha hapa
View attachment 1790510
lkn hii hawatakuonyesha[emoji23]
View attachment 1790516
Umeuaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1790568View attachment 1790569View attachment 1790570View attachment 1790571View attachment 1790574
Hii ndiyo kitu Tony 254 alisema ata expose humu km kina Yosef festo wataendelea kumtibua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1790568View attachment 1790569View attachment 1790570View attachment 1790571View attachment 1790574