Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Basi una uwezo huo wakununua plot kw hayo maeneo ambayo yameunganishwa kw metro au ni mbwembwe tu
 
Imepanuliwa na nani 🤣🤣🤣👇👇👇 kwann kimabu iitwe county na ijutegemee kwann??

View attachment 1790776View attachment 1790777View attachment 1790787
Lazima tukufunze😂😂😂, je unamjua huyu ni nani
images.jpeg
 
Imepanuliwa na nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] kwann kimabu iitwe county na ijutegemee kwann??

View attachment 1790776View attachment 1790777View attachment 1790787
Km imeachwa kuitwa central province tu ndio ije ishindwe kuitwa nairobi metro[emoji23][emoji23]
Ama ndio kupanic umepanic, kenya tunaijua wenyewe na ndio manake hatukua na magavana na sasa wapo pia metro vile vile ipo..we kalielie chato makaburini huenda kilio chako kitasikika[emoji2960]
 
😂😂😂😂😂Hizi fikra😂😂😂😂😂., vile kunaenda hivi karibuni utasikia mtu akiuliza mbona Nairobi sio pwani?😂😂😂😂.,
Ndo ujue kuna vitu sio level yako ni blessings tu from GOD,dar imebarikiwa white sand soil na hicho kitu cha kwanza kinachotofautisha dar na nairoslum..ni blessing.. Red soil to a city is not attractive at all,it makes Nairobi look like a njombe village..
 
Ndo ujue kuna vitu sio level yako ni blessings tu from GOD,dar imebarikiwa white sand soil na hicho kitu cha kwanza kinachotofautisha dar na nairoslum..ni blessing.. Red soil to a city is not attractive at all,it makes Nairobi look like a njombe village..
Enhee!!kwhyo dar kuwa na white sand soil ni blessings kutoka lwa Mungu..
We tena unajiskia au ndio umeamua kuwehuka km kawaida yenu
 
Wakenya wanapenda ufahari na huku hela hawana..tukianza na

1.bwana mapesa teargass a.k.a Freemason
2.kuna yule mwingine mzee wa buggati,yaani jamaa ana hela hadi anaweza kununua Bugatti na kuichoma moto
3.mwingine kajitokeza leo ananitisha na lunch huku ukiangalia gari alioposti hapo juu hata kuifanyia service inamtoa jasho..damn!!

Wakunya hamna maisha ya kutushinda wabongo,hilo msahau
kuna mwingine anakaa karen🤣
 
Back
Top Bottom