K
Kiswahili mingi zero points😂😂😂😂😂., nataka udhibitishe kwanba sio ukweli watu waboda boda hawana hizo nyumba, hizo ni hadithi za vijiweni ambapo unatamani isikue ukweli najua, yaani wivu imekunyonga, umekaukiwa na mate😂😂😂😂., Ni povu unamwaga..,
Leta evidence hakuna kitu hicho, na boda boda operators hawakujijengea nyumba kupitia mfumo wa SACCO., Weka facts eti hizo taarifa ni uongo, wewe unajua Kenya kushinda wakenya, unaeza pia tembelea YouTube ukitaka.,😂😂😂😂., Am waiting, hekaya za abunuasi sitaki.., kuja pole pole..,