Thanks, will try over the weekend
yeah, probably uchafu umejaa au filter imeisha.. hivyo air haifiki vizur ndan, hivyo kusababisha ukosefu wa hewa ya kutosha ndan ya engine..
Thanks, will try over the weekend
Task niliyokupatia vipi!?BRT tushaanza kujenga sasa meaning tutakua na pimped out buses, boring brt buses, na rapid train.... who is laughing now 😁
daaah,,,ingekuwa vituko sanaNajaribu kuwaza hivi wakenya wangekuwa wanajenga nyumba zao wenyewe kama sisi tunavyofanya,dah wangejenga ujinga wa karne...jamaa ni masikini sana
Mzee kumbe bado upo 😂😂😂Task niliyokupatia vipi!?
Hamna mzee[emoji23][emoji23]
Mitaa ya kifahari ukanda huu kenya ndio babayao
Haya makazi hayamstahili mwanadamu yoyote duniani isipokuwa MKENYA peke yake.Tunapoongelea slum maana yake ni hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] yani makazi yasiomstahiki binaadamu wala wanyama ndio maana ya slums
View attachment 1790096View attachment 1790097
View attachment 1790098
eti nyumba za kisasa?😂😂😂😂😂😂., Dar is slum kweli😂😂😂😂., hizo ni za kisasa eti?😂😂😂Ukimwambia zoom tuone kwann mzungu hakuona slum anakimbia mbio 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 yani mzungu awekeze trillions of money hewani aone slums za dunia asione ya dar haitawah tokea 😃😃😃😃 hapo utaona unplanned settlements lakini hzo nyumba ni za kisasa hakuna tope waa mabati wall 👇👇View attachment 1790087View attachment 1790088View attachment 1790089View attachment 1790090
Cheki za kwenda garissaView attachment 1790222
Toleo lipiCheki za kwenda garissaView attachment 1790222
Endelea kuugua hvo hvo[emoji23][emoji23]eti kenya ni nairobi tu...Hii Mercedes-Benz brand ya Kenya au brand ganii mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina chimney juu kama sgr trains zenu
We kwn fundi au wafanya mercedes mpka ujue kila kitu...au wataka upewe engine number ushtuke[emoji23][emoji23]Toleo lipi
Mbona basi na hko zinajengwa siku hizi[emoji23][emoji23]Sasa nani ashindwe kukodi apartment, kibongobongo kwanza ni ushamba,wenzako wana own houses we umekazana na rent..hakuna middle class asiyeweza kumiliki ardhi..ardhi ndo asset kubwa ulimwenguni
Tulia mzee, hyo 60٪ umeipata chato labda[emoji23][emoji23] hzo units kenya hazijengewi matajiri hku, ndio pale mnapo ambiwa wakenya wanamiliki majumba nyie mlikua mnakataa..sasa umejione vile watu wanamiliki appartments za bei mjini tena ujue sio mbili tatu zimejaa karibia kila mahali hzo estates...Yaani mkunya wa kawaida anunue unit kwa zaidi ya USD 63000+..ukizingatia 60% ya wakenya wanaishi kwa slum..unatuona sie wajinga wenzako??..mkenya wa kawaida anapata wapi USD 63000!???..hiyo labda upper class kwa hapo kunya..hiyo hela ndo anayotumia mtanzania kwa vitu vyoote kuanzia ardhi kubwa,anajenga nyumba yenye ukubwa autakao
Hapo ni kenya mzee[emoji23][emoji23]Ndinga za bei mbaya tuu,ingekuwa Kenya ungeona msururu wa probox kama nane hivi