Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya a.k.a wachuuzi wa Avocado...

safari yenu imeishia hapa
20210519_102210.jpg
 
Nimekupa hesabu za dukani kutoka kwenye link yako ya bodaboda nikakwambia hata apewe miaka 50 acha miaka. 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 hapa hakuna siasa za BBi na hii sio ile platform ya nairaland kwamba mutadanganya watu kirahisi

hata kama unaumia ww vumili kama mwenzako Nicxie sasa hvi anapozea machngu ya nyumba ya urithi ushagoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1790413
Ona sasa reasoning uchwara😂😂😂😂 na bado Kenyans wanafaulu kumiliki nyumba, wewe ukiendelea kulia na kupinga usicho elewa 😂😂😂😂, Wacha nikusaidie kilaza uone the meaning of unity here, akili yako ni ndogo sana,., 😂😂😂😂., Naongea kwa level ya mtoto wa chekechea hapa!
Mtu mmoja akienda hotelini, kwa mfano anaweza kununua chakula a plate tuseme at Ksh200, akipeleka rafiki zake kumi itakua bei ya juu, 200x10=2000 ukiongeza na yake ni ksh2200/- Sasa wakiamua kukusanya pesa kidogo kidogo, tuseme Kshs 50 kila mtu, itakua kshs550! kisha wanunue viungo, unga, mafuta etc wapike, watapika mlo wa kuwatosha wakule washibe kirahisi sana na wabakishe.
Watu wakija pamoja na ku form a cooperative society, na wakusanye pesa kila mwezi kwa ujumla, wanaweza kukopa loans kwa banks kupitia SACCO yao na kununua wanacho taka kirahisi than an individual., The power of unity, hope kilaza umeshika angalau kidogo tu..,😂😂😂 unaniaibisha rafiki, saa zingine kupita kimya kimya ni hekima😂😂😂😂
 
Hata tukitumia hesabu za dukani achilia hesabu za kiuchumi tutumie hesabu za dukani za kuuza karanga na soda

nikikwambia ni ndoto ya alinacha unasema mm muongo👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Boda boda anatakiwa aweke savinga ya 1000ksh a week
1000ksh * 4weeks = 4000ksh a month
So 4000ksh a months * 12 months = 48000ksh
So 48,000ksh yearly * 7 = 336,000/

wakat amepewa miaka 7 mm nakwambia huyo boda boda apewe miaka 50 achia miaka 7 apewe miaka 50 hanunui plot wala ushuzi wa plot 😅😅😅😅 kwa maisha gani hayo kila kitu rushwa inflation iko over 5%

ikiwa hatuoni hata kupapasa pia hatuweziView attachment 1790404
Na hii unit ni two bedroom 😄😄😄 just imagine unatuletea siasa za jubileee wakat maisha yenu mabovu kuliko ya zimbabwe hzo ajira zenyewe hakuna about 40%😁😁

Ulisoma na Venus Star nini😂😂😂

Mimi ni mdhamini wa pikpiki so pata first hand information😎

Boda boda rider kenya anapata 1000 ksh on average daily,

Alafu atenge 300 ksh kwa mkopo wa nyumba daily.

[Weekly, 300*7= 2100] [monthly, 4*2100= 8400] [yearly 12*8400= 100800] [ seven yrs 7*100800= 705600]

Any more questions😂😂😂😂
 
Hata wapewe miaka 50 hakuna hata mmoja atafaulu 🤣🤣🤣🤣🤣 na ndio nimeamini kwann kenya maskini atabakia maskini na tajiri atabakia tajiri 😁😁 yani matajiri na taasisi zinawanyonya sana watu maskini ambao ni wengi sana ndio maana hata ndoto za kumiliki plot au nyumba zinabaki kua ndoto za kuota mchana, mtu aki rent bed sitter pia middle class mamaeeee😄😄😄

Mm leo nitakugonga na facts mpaka unichukie 👇👇👇👇👇😅😅😅

K
Mm nijifunze ukweli juu ya kenya ama 🤣🤣 umekalia kuleta siasa na chuki kwa ccm kwasababu unaumbuka 😁😁😁😁 dunia haiendi hvo na haitakua hvo dunia ya leo sio ile ya miaka 20 iliopita, kama munafkiri mutaficha aibu zenu kwa uongo dunia ya leo sahau hayo ni maoni yangu binafsi 😂😂😂
Kiswahili mingi zero points😂😂😂😂😂., nataka udhibitishe kwanba sio ukweli watu waboda boda hawana hizo nyumba, hizo ni hadithi za vijiweni ambapo unatamani isikue ukweli najua, yaani wivu imekunyonga, umekaukiwa na mate😂😂😂😂., Ni povu unamwaga..,
Leta evidence hakuna kitu hicho, na boda boda operators hawakujijengea nyumba kupitia mfumo wa SACCO., Weka facts eti hizo taarifa ni uongo, wewe unajua Kenya kushinda wakenya, unaeza pia tembelea YouTube ukitaka.,😂😂😂😂., Am waiting, hekaya za abunuasi sitaki.., kuja pole pole..,
 
Ulisoma na Venus Star nini😂😂😂

Mimi ni mdhamini wa pikpiki so pata first hand information😎

Boda boda rider kenya anapata 1000 ksh on average daily,

Alafu atenge 300 ksh kwa mkopo wa nyumba daily.

[Weekly, 300*7= 2100] [monthly, 4*2100= 8400] [yearly 12*8400= 100800] [ seven yrs 7*100800= 705600]

Any more questions😂😂😂😂
Mm nimekupigia hesabu za dukani tu a week bodaboda anatakiwa apeleke 1000ksh
Ukipiga kwa mwezi ni 4000ksh ukipiga kwa mwaka ni 48000ksh kumbuka ninhesabu za dukani 😂😂😂😂 ukipiga kwa miaka 7 ni 336,000ksh wakat kashamaliza muda wakulipia na bei ya two bedroom ni 700,000

hapo bodaboda hajaugua, hajala, hajalipa kodi, hajaweka mafuta, hajalipa social services, hajahonga mpango wa kando, hajasomesha watoto etc na inflation is over 5% 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani ukitumia hesabu ambazo haziymizi kichwa ndoto ya kununua nyumba haipo na haitakuwepo mpaka dunia inasmama na ndio leo nimeamini kwann maskini atabaki maskini na tajiri atabaki tajiri
Hata tukitumia hesabu za dukani achilia hesabu za kiuchumi tutumie hesabu za dukani za kuuza karanga na soda

nikikwambia ni ndoto ya alinacha unasema mm muongo👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Boda boda anatakiwa aweke savinga ya 1000ksh a week
1000ksh * 4weeks = 4000ksh a month
So 4000ksh a months * 12 months = 48000ksh
So 48,000ksh yearly * 7 = 336,000/

wakat amepewa miaka 7 mm nakwambia huyo boda boda apewe miaka 50 achia miaka 7 apewe miaka 50 hanunui plot wala ushuzi wa plot 😅😅😅😅 kwa maisha gani hayo kila kitu rushwa inflation iko over 5%

ikiwa hatuoni hata kupapasa pia hatuweziView attachment 1790404
Na hii unit ni two bedroom 😄😄😄 just imagine unatuletea siasa za jubileee wakat maisha yenu mabovu kuliko ya zimbabwe hzo ajira zenyewe hakuna about 40%😁😁
 
K

Kiswahili mingi zero points😂😂😂😂😂., nataka udhibitishe kwanba sio ukweli watu waboda boda hawana hizo nyumba, hizo ni hadithi za vijiweni ambapo unatamani isikue ukweli najua, yaani wivu imekunyonga, umekaukiwa na mate😂😂😂😂., Ni povu unamwaga..,
Leta evidence hakuna kitu hicho, na boda boda operators hawakujijengea nyumba kupitia mfumo wa SACCO., Weka facts eti hizo taarifa ni uongo, wewe unajua Kenya kushinda wakenya, unaeza pia tembelea YouTube ukitaka.,😂😂😂😂., Am waiting, hekaya za abunuasi sitaki.., kuja pole pole..,
Sio kiswahili 🤣🤣 usilaumu kiswahili hii ni lugha tu kama kijaluo na kikamba🤣🤣🤣 hapa tunaongea facts sio porojo za BBi wachache wanakula pesa wengi wanabaki maskini hapana 👇👇👇👇👇👇

Back
Top Bottom