Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajaribu kukwepa baada ya kukojolea mjadala😂😂😂😂., hapa bado tulia, uweke nami nitaweka., but bado.., wacha haraka, usikimbie mapema, nangoja prove wana boda boda ni waongo..,😂😂😂, unakimbia unaenda wapi?
Nimeomba kuoneshwa sehemu high class nairobi wamejenga nyumba zao kwa ndoto zao au dream zao 🤣🤣🤣🤣🤣 naona kila mmoja anapita wima nilitaka leo niwaelekeze kitu lakini ndio bahat mbaya sijapata jibu🤣🤣
 
Ndivyo alivyo huyu😂😂😂😂, amekosa Tanzania yote, angekua amejaza uzi na vipicha, sasa ni Kiswahili amebaki nazo tangu tumpige jana na middle na lower middle, ako na maumivu😂😂😂😂😂😂 namuangalia tu pole pole.., hana evidence ni ku google things out of context na ku prove his ignorance 😂😂😂😂 balaaa.,
With only 10,000 ksh deposit you can own a motorbike worth 115,000 in less than a year courtesy of Watu – Empowering Entrepeneurs

I did that😎😎😎
 
Hawawezi kuleta picha, nyumba zao ni village style choo cha nje😂😂😂😂😂
 
Unajaribu kukwepa baada ya kukojolea mjadala😂😂😂😂., hapa bado tulia, uweke nami nitaweka., but bado.., wacha haraka, usikimbie mapema, nangoja prove wana boda boda ni waongo..,😂😂😂, unakimbia unaenda wapi?
Hawawezi kuleta picha, nyumba zao ni village style choo cha nje😂😂😂😂😂
With only 10,000 ksh deposit you can own a motorbike worth 115,000 in less than a year courtesy of Watu – Empowering Entrepeneurs

I did that😎😎😎
Ndivyo alivyo huyu😂😂😂😂, amekosa Tanzania yote, angekua amejaza uzi na vipicha, sasa ni Kiswahili amebaki nazo tangu tumpige jana na middle na lower middle, ako na maumivu😂😂😂😂😂😂 namuangalia tu pole pole.., hana evidence ni ku google things out of context na ku prove his ignorance 😂😂😂😂 balaaa.,
Sasa nionyeshe wale boda boda ni waongo😂😂😂😂taarifa hauelewi pia unatupa tu😂 yaani how it is hard kwa mtu mmoja ku afford to own a home, na hesabu umepewa, Mimi nimekupa taarifa yakuonyesha vile watuvwanavyo ungana na kufaulu😂😂😂😂., Unajitekenya na kucheka masikini kakangu😂😂😂😂😂., Mbona kuniabisha hivi leo?😂😂😂😂😂😂😂😜😂😂

Nionyeshe wale boda boda operators wa Nakuru, Nanyuki na Kitengela ni waongo, hakuna jambo kama hiyo.., hizo ni porojo na propaganda😂😂😂😂.., evidence bro...,
👇👇👇👇👇👇 unajifanya chizi sio😂😂😂😂
Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅👇👇👇👇👇
CF271C06-3D4B-48B6-9EF7-E5A37AF1AF05.jpeg
8D461149-C4D3-461A-B6F7-A23906F4745A.jpeg
D9365925-7E36-4618-9E4B-B0926305E5E4.jpeg
2BA4E6D5-F3C8-469A-9F86-AB36C98C51B7.jpeg
A3A8FD98-66B3-4766-B46A-9790C9B4D639.jpeg
 
Mimi nampatia first hand information yeye yualeta mipasho na story za kijiweni😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣👇👇👇👇 au kuna nyingine the link amepost ndugu yako mm nimefanya kuichambua tu sasa kwann ukasirike urushe ngumi za hewani
8A943950-0372-4114-8ABF-B56D74949BFD.jpeg
 
Hawawezi kuleta picha, nyumba zao ni village style choo cha nje😂😂😂😂😂
Mbona tandale nimewaletea na siskii hata mkuzungumza sasa 🤣🤣🤣 na jumamos hii naenda yombo sasa nikalete vitu kwa ground naomba ukae mkao wa kula tu
 
Ukweli ni vile ilivyo, wakujinyonga ajinyonge, mnyenyekevu ajifunze kitu hapa.,
More news, wacha niweke screenshot mtu asiseme ni edited.
More good news from sacco regime in Kenya; mwenye macho haambiwi tazama.,
The power of SACCO💪👍👏👏👏
Screenshot_20210519-114125.jpg

Screenshot_20210519-114145.jpg

Screenshot_20210519-114237.jpg
Screenshot_20210519-114237.jpg

Screenshot_20210519-114249.jpg

Screenshot_20210519-114206.jpg

Wenye wivu na kupinga waendelee tu, Kenya will forever lead and rule EAC until the end of the world!
 
Mbona tandale nimewaletea na siskii hata mkuzungumza sasa 🤣🤣🤣 na jumamos hii naenda yombo sasa nikalete vitu kwa ground naomba ukae mkao wa kula tu
Kwahio tandale ndo mnakoishi nyote😂😂😂😂😂😂😂 ashajilipua tena😁😁😁
 
Sasa nionyeshe wale boda boda ni waongo😂😂😂😂taarifa hauelewi pia unatupa tu😂 yaani how it is hard kwa mtu mmoja ku afford to own a home, na hesabu umepewa, Mimi nimekupa taarifa yakuonyesha vile watuvwanavyo ungana na kufaulu😂😂😂😂., Unajitekenya na kucheka masikini kakangu😂😂😂😂😂., Mbona kuniabisha hivi leo?😂😂😂😂😂😂😂😜😂😂

Nionyeshe wale boda boda operators wa Nakuru, Nanyuki na Kitengela ni waongo, hakuna jambo kama hiyo.., hizo ni porojo na propaganda😂😂😂😂.., evidence bro...,
Ona kitu gani unaongea wewe 🤣🤣 yani wallah unatia mpaka huruma
Umeleta link kua bodaboda wamenzishiwa mfuko wa kufanya saving na kupa two bedroom wewe mwenyewe na hio link uliopost wenyewe wanasema imewachukua ugumu kupata watu na challenges ziliwashinda watu wakawa wanajitoa na nikiangalia ugumu waliouonana bodaboda ni huu hapa hata mwendawazimu hawezi kubali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
Na ukiangalia kwa hesbu rahisi ni lazma maskini abaki maskini tu
DD039C49-493A-4015-A242-B105EECC1154.jpeg
 
Kwahio tandale ndo mnakoishi nyote😂😂😂😂😂😂😂 ashajilipua tena😁😁😁
Kwani mulikua munaisemaje tandale umesahau 🤣🤣🤣 si juzi tu hapa mulipost tandale baada ya mm kuwaonesha hali halisi mukazuga sasa jumamos natumba yombo kaa mkao wakula
 
Ukweli ni vile ilivyo, wakujinyonga ajinyonge, mnyenyekevu ajifunze kitu hapa.,
More news, wacha niweke screenshot mtu asiseme ni edited.
More good news from sacco regime in Kenya; mwenye macho haambiwi tazama.,
The power of SACCO💪👍👏👏👏
View attachment 1790586
View attachment 1790583
View attachment 1790585View attachment 1790585
View attachment 1790584
View attachment 1790582

Wenye wivu na kupinga waendelee tu, Kenya will forever lead and rule EAC until the end of the world!
Hiii link imeshindikana au 🤣🤣🤣👇👇 umepost mwenyewe lakini 👇👇👇👇
Yani hata mwendawazimu akipiga hesabu atabakia kusema maskini atabakia maskini tu
DB66B285-052A-4A56-AD2D-090EF79296BE.jpeg
F7EA77A9-35C2-492D-A099-2DAA00A5AD63.jpeg
99474370-29BA-4143-901B-814F67130824.jpeg
 
Eastlands Harambee sacco housing units
Power of SACCOs💪😜👏👏👏😂
Screenshot_20210519-113853.jpg

Serikali pia imetambua bidii ya raiya kukuja pamoja, imekubali SACCO iko na nguvu!
Screenshot_20210519-113613.jpg

By jubilee govt.😂😂😂 hadi raha.,
 
Nenda kalilie kwa choo hauna chochote humu😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm nilikwambia lazma ukalie kuti hata ukinichukia nichukie tu lakini ukweli unao mkononi👇👇👇
Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅👇👇👇👇👇View attachment 1790568View attachment 1790569View attachment 1790570View attachment 1790571View attachment 1790574
 
Eastlands Harambee sacco housing units
Power of SACCOs💪😜👏👏👏😂
View attachment 1790597

Serikali pia imetambua bidii ya raiya kukuja pamoja, imekubali SACCO iko na nguvu!
View attachment 1790602
By jubilee govt.😂😂😂 hadi raha.,
I believe is jubilee 🤣🤣🤣👇👇 ndio maan iliwatoa ndoto za kumiliki plot na nyumba mpaka dunia itasmama

87ED1C4B-095B-421B-88B9-D495F693EFB8.jpeg
D67EC3FE-9964-4FD0-9DD7-32C0C521F832.jpeg
D9794433-44E4-45B0-A250-CFCDE034825C.jpeg
 
Back
Top Bottom