Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe na hzi slums ni za serekali hawa watu 70%wanaoishi kwenye slums navosema hawana ndoto ya ardhi wala nyumba hawanielewi ama dharau au 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
B7F20A2F-441B-4299-9CA0-34F387EB48B3.jpeg
EF26C5A7-042A-4242-BFD6-D1CDAF71AB99.jpeg
 
Sa hii ameingia kwa metropolitan 😂😂 jamaa yuarukaruka kama chura😁
Ni mwehu, anajua kukwepa namuelewa sana😂😂😂😂., analazimisha fikra zake zionekane eti ni ukweli,😂😂., wachana na yeye apumue., ama kubaliana tu na yeye, ilimradi tu😂😂😂.,
 
Nani anakwepa nani kaanzisha mada ya metro 🤣🤣🤣🤣👇👇👇 unajitia kidole alaf unanusa
Jitie hamnazo hadi basi, wewe sio mkenya😂😂😂😂😂
View attachment 1790730
 
Mada hapa ndoto ya wakenya wa nairobi hawana ndoto wala malengo ya kumiliki ardhi nairobi na pia kurent bedsitter haina maana kwamba mtu anakua middle class hakuna kukwepa mada hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

landa kubwa nairobi ina milikiwa na politicians, taasisi za serekali na matajiri wachache sana

Hii ndio mada 👆👆👆👆👆👆🤣🤣
 
Unajifanya chizi😂😂😂😂 wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialia😂😂😂
🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
Mada hapa ndoto ya wakenya wa nairobi hawana ndoto wala malengo ya kumiliki ardhi nairobi na pia kurent bedsitter haina maana kwamba mtu anakua middle class hakuna kukwepa mada hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

landa kubwa nairobi ina milikiwa na politicians, taasisi za serekali na matajiri wachache sana

Hii ndio mada 👆👆👆👆👆👆🤣🤣
 
Nani anakwepa nani kaanzisha mada ya metro 🤣🤣🤣🤣👇👇👇 unajitia kidole alaf unanusa
ulipoambiwa nairobi outgrew its borders ukapinga sasa ukaletewa map umeanza mipasho😂😂😂😂 mzee kubali umepigwa hapa😁😁
 
Unajifanya chizi😂😂😂😂 wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialia😂😂😂
Ww umesema watu wanajenga nje ya jiji la nairobi nikakwambia lazma waende huko kwasababu ndoto za kununua ardhi wala nyumba nairobi hakuna 🤣🤣🤣 na wengi wanakimbilia hapa🤣🤣👇👇👇👇
C076097B-B62A-4D6E-AD92-5A05C821EFD5.jpeg
ECFD56BC-8872-4369-9D54-584F49A2158F.jpeg
 
ulipoambiwa nairobi outgrew its borders ukapinga sasa ukaletewa map umeanza mipasho😂😂😂😂 mzee kubali umepigwa hapa😁😁
Mzee rudi kwenye mada 🤣🤣🤣 ww hutamani kua na nyumba nairobi hebu ongea bila hasira na mawazo najua ni ndoto hebu ifanye ndoto kama kwei nijibu plz😁😁😁
 
Number yake watapata wapi 🤣🤣🤣 nishawanyuka tayar kumbe hata slums zao zinamilikiwa na serekali hebu chukua 2.5m kibera hawana ardhi wala ndoto kachukue na mathare uchanganye na makuru kayaba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kweli kabisa 70% wako kwenye slums
🤣 🤣🤣
 
Ww umesema watu wanajenga nje ya jiji la nairobi nikakwambia lazma waende huko kwasababu ndoto za kununua ardhi wala nyumba nairobi hakuna 🤣🤣🤣 na wengi wanakimbilia hapa🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1790745View attachment 1790746
Sasa kajilipua 😂😂😂 ushakubali nairobi imepanuka mpaka kiambu😂😂😂😂 kizungu panaitwa metropolitan region, rudia tena metropolitan region
IMG_20210519_135918_475.jpg
 
Back
Top Bottom