Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulia mzee, hyo 60٪ umeipata chato labda hzo units kenya hazijengewi matajiri hku, ndio pale mnapo ambiwa wakenya wanamiliki majumba nyie mlikua mnakataa..sasa umejione vile watu wanamiliki appartments za bei mjini tena ujue sio mbili tatu zimejaa karibia kila mahali hzo estates...
So mkisema hao ni matajori basi inmaana kenya ina matajiri wengi sana kw sababu kwetu hao ni middle class
Tena sio 60% nimekosea ni over 70% mnaishi kwa slum..nikuletee ushahidi!
 
Wewe ni kilaza huwezi nifunza chochote ama mtubyeyote ata awe mwendawazimu wewe hauwezi lolote kamwe😂😂😂😂😂., Masikini la Tanzania., Your reasoning ndio imekuumbia, tajiri hafikiri kama wewe hataa😂😂😂😂., Kumbe wewe ni low life muongo kupindukia 😂😂😂., Kiswahili mingi with zero points😂😂😂.,
🤣🤣🤣🤣 mm nilijua huwezi toka umebakia kutoa povu wakat mm nakupa facts 😆😆 kwamba ukiwa bed sitter ume rent tayar middle class 😂😂😂😂 mwenzako alisema ana urithi ushagoo hana shida na plot nairobi mara jana kasema ana plot nairobi so which is which 😄😄😄

mambo ya siasa kwenye ukweli acheni nayo msione aibu kuaibika 😅😅😅😅 ni ishara nzuri ya kujifunza
 
Tena sio 60% nimekosea ni over 70% mnaishi kwa slum..nikuletee ushahidi!
Waambie wakatae sasa 🤣🤣🤣👇👇👇 Hata kwenye slums ndani wanaomuliki ardhi ni wachache sana haya niambie ndoto ya plot na nyumba itakuwepo
52507A7A-FF45-4551-B990-A318187439A0.jpeg

Mzee utadanganya wengine lakini sio mm na hilo unajua huwezi na hutaweza kunidanganya mm mpaka kiyama 🤣🤣🤣

hebu tizama hii statement kutoka kwenye link yako mwenyewe from 100ksh saving to 1000ksh 😅😅😅 ni boda boda gani huyo?? Hvi nyinyi nani anawaroga
View attachment 1790395

hata tukichukua mifano halisi mulivokaririshwa kimaisha kua ardhi ni ya wakubwa hio ni dream iko kwenye ubongo wenu sasa leo boda boda aweke saving ya 1000 kwa maisha gani hayo ??? 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa uongo iko wapi hapo kilaza? Point out.., hizo nyumba ni za wanasiasa umeona eti? ama ya beberu? Pengine no watanzania wamejenga?, Tanzania itabaki kua masikini kwa fikra kama hizi.., 😂😂😂😂., limasikini lya gongo la mboto linajaribu ku reason😂😂😂😂😂., unatia aibu kweli😂😂.,
Unaumia hadi basi!!! 😂😂😂Nenda kalilie kwa choo sio mimi nimefqnya hayo, ni Kenya dogo, Mimi sina ubaya ni ukweli ilivyo tu zoea upone madharau ya wivu na chuki😂😂😂😂😂😂😂
 
60% ya wa Kenya!!! Yaani mko desperate hivi hadi mnalazimisha fikra zenyu😂😂😂😂., bro jikubalini., facts zimewaumbua, mji mkuu ni picha ya ufukara Tanzania., backward people..,
Tena sio 60% ni over 70% ya wakenya wanaishi katika slum..nikuletee ushahidi??..sema mwenyewe
 
Sasa uongo iko wapi hapo kilaza? Point out.., hizo nyumba ni za wanasiasa umeona eti? ama ya beberu? Pengine no watanzania wamejenga?, Tanzania itabaki kua masikini kwa fikra kama hizi.., 😂😂😂😂., limasikini lya gongo la mboto linajaribu ku reason😂😂😂😂😂., unatia aibu kweli😂😂.,
Unaumia hadi basi!!! 😂😂😂Nenda kalilie kwa choo sio mimi nimefqnya hayo, ni Kenya dogo, Mimi sina ubaya ni ukweli ilivyo tu zoea upone madharau ya wivu na chuki😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 rejea hapa na nimeichambua hio hio link ya boda boda ili mutuletee siasa za BBi ambayo wachache wamepiga pesa z umma wengine kwangu pakavu tia mchuzi
Jubilee ndio ilivowandanganya sasa hii link ya uongo 🤣🤣🤣🤣 na owners wa ardhi wengi ni politicians na investers pamoja na gvt institution pia unakataa 😀😀😀😀

Naomba uniletee sehemu matajiri wa nairobi au high class wa nairobi wamejenga nyumba zao za design wanazopenda wao ukipata naomba mm unitag🤣🤣🤣 alaf nikufundishe kitu
Wananunua kina nani?? Kwa mshahara upi na kwa maisha yapi?? 🤣🤣🤣🤣🤣
Masharti ya mkopo ndio haya hata apewe miaka 1000 👇👇👇👇
View attachment 1790385
 
Sasa uongo iko wapi hapo kilaza? Point out.., hizo nyumba ni za wanasiasa umeona eti? ama ya beberu? Pengine no watanzania wamejenga?, Tanzania itabaki kua masikini kwa fikra kama hizi.., 😂😂😂😂., limasikini lya gongo la mboto linajaribu ku reason😂😂😂😂😂., unatia aibu kweli😂😂.,
Unaumia hadi basi!!! 😂😂😂Nenda kalilie kwa choo sio mimi nimefqnya hayo, ni Kenya dogo, Mimi sina ubaya ni ukweli ilivyo tu zoea upone madharau ya wivu na chuki😂😂😂😂😂😂😂
Rejea hapa nilijua hutoki ni hii hii link yako ya boda 🤣🤣🤣👇👇👇👇 Unatuletea siasa z BBi za wachache kupiga 14b ksh wachache wakiuumia
Mzee utadanganya wengine lakini sio mm na hilo unajua huwezi na hutaweza kunidanganya mm mpaka kiyama 🤣🤣🤣

hebu tizama hii statement kutoka kwenye link yako mwenyewe from 100ksh saving to 1000ksh 😅😅😅 ni boda boda gani huyo?? Hvi nyinyi nani anawaroga
View attachment 1790395

hata tukichukua mifano halisi mulivokaririshwa kimaisha kua ardhi ni ya wakubwa hio ni dream iko kwenye ubongo wenu sasa leo boda boda aweke saving ya 1000 kwa maisha gani hayo ??? 🤣🤣🤣🤣🤣
Naendelea kuichambua link yako taratibu 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 1790398
Hata tukitumia hesabu za dukani achilia hesabu za kiuchumi tutumie hesabu za dukani za kuuza karanga na soda

nikikwambia ni ndoto ya alinacha unasema mm muongo👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Boda boda anatakiwa aweke savinga ya 1000ksh a week
1000ksh * 4weeks = 4000ksh a month
So 4000ksh a months * 12 months = 48000ksh
So 48,000ksh yearly * 7 = 336,000/

wakat amepewa miaka 7 mm nakwambia huyo boda boda apewe miaka 50 achia miaka 7 apewe miaka 50 hanunui plot wala ushuzi wa plot 😅😅😅😅 kwa maisha gani hayo kila kitu rushwa inflation iko over 5%

ikiwa hatuoni hata kupapasa pia hatuweziView attachment 1790404
Na hii unit ni two bedroom 😄😄😄 just imagine unatuletea siasa za jubileee wakat maisha yenu mabovu kuliko ya zimbabwe hzo ajira zenyewe hakuna about 40%😁😁
 
Sasa umeona evidence kisha unajitia hamnazo😂😂😂😂., Bado haukaelewa vile SACCO inafanya kazi, nyambaff kweli😂😂😂😂😂, na unaongea kwa nguvu na hasira mingi😂😂😂, wacha machungu, tafuna ndimu kama mwanaume tu na utulie, Tanzania hautopata kamwe such ingenuity😂😂😂😂😂😂., Mizembe in out, evidencekutoka Tanzania hauna😂😂😂😂😂😂 Lia kabisaa, ama ukuje unipige ukitaka, ukweli uko wazi tu, jifunze utoke kwa ufukara 😂😂😂.,
 
Naona umechange gear angani 👇👇👇
😂😂😂😂😂

Kama wakenya hawana pesa hizo estates zisingejaa kila kona ya nchi😎😎
Nairobi yenyewe imejaa mabanda halafu unazungumzia kila kona ya nchi,hata bongo hizo zipo nyingi tu Tanzania nzima vile urahisi wa kujenga na kumiliki ardhi huwa hazina wateja..yaani wewe upange apartment, then ujifananishe na mtu mwenye nyumba yake anayemiliki ardhi..are you crazy
 
Sasa umeona evidence kisha unajitia hamnazo😂😂😂😂., Bado haukaelewa vile SACCO inafanya kazi, nyambaff kweli😂😂😂😂😂, na unaongea kwa nguvu na hasira mingi😂😂😂, wacha machungu, tafuna ndimu kama mwanaume tu na utulie, Tanzania hautopata kamwe such ingenuity😂😂😂😂😂😂., Mizembe in out, evidencekutoka Tanzania hauna😂😂😂😂😂😂 Lia kabisaa, ama ukuje unipige ukitaka, ukweli uko wazi tu, jifunze utoke kwa ufukara 😂😂😂.,
Nimekupa hesabu za dukani kutoka kwenye link yako ya bodaboda nikakwambia hata apewe miaka 50 acha miaka. 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 hapa hakuna siasa za BBi na hii sio ile platform ya nairaland kwamba mutadanganya watu kirahisi

hata kama unaumia ww vumili kama mwenzako Nicxie sasa hvi anapozea machngu ya nyumba ya urithi ushagoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
D6ADF17E-F482-4725-A9FE-5F4F40319F8E.jpeg
 
Naendelea kuichambua link yako taratibu 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 1790398
Exactly, unajua kusoma kweli? Let me put it in Swahili for u kilaza😂😂😂, Haikuwa rahisi to convince members wengine kujoin pale mwanzo, but mwishowe nini kilitokea? Housing!😂😂😂😂., It is a success story, na sio tu kikundi kimoja tu!😂😂😂,
Yaani taarifa inakupa mwendo ulivyo kua, sasa watu wanachangamkia SACCO utabakii kushangaa shangaa tu😂😂😂😂😂
Wenzako wenye akili timamu wanakuona mpumbavu kweli😂😂😂😂., Hii inafaa ni peleke kule kwa jukwaa la siasa ama habari na hoja mchanganyiko., Watanzania wakufunze kuzoea ukweli, mataga wewe😂😂😂😂😂😂😂
 
Nairobi yenyewe imejaa mabanda halafu unazungumzia kila kona ya nchi,hata bongo hizo zipo nyingi tu Tanzania nzima vile urahisi wa kujenga na kumiliki ardhi huwa hazina wateja..yaani wewe upange apartment, then ujifananishe na mtu mwenye nyumba yake anayemiliki ardhi..are you crazy
Kujenga estates is not a problem ukiweza kununua sawa lakini majority uwezo hawana kabisa, sasa jiulize swali nyumba ni basic need haikwepeki sasa kwan wakikodisha wanakodisha bure si wanalipa hio ndio ule msemo unasema every-businessman is a profit motivated na uzuri wa ardhi au nyumba haiozi 🤣🤣🤣 ukishindwa kurent wewe atakuja mwengine kujaribu bahat nasibu Coco reborn
 
Exactly, unajua kusoma kweli? Let me put it in Swahili for u kilaza😂😂😂, Haikuwa rahisi to convince members wengine kujoin pale mwanzo, but mwishowe nini kilitokea? Housing!😂😂😂😂., It is a success story, na sio tu kikundi kimoja tu!😂😂😂,
Yaani taarifa inakupa mwendo ulivyo kua, sasa watu wanachangamkia SACCO utabakii kushangaa shangaa tu😂😂😂😂😂
Wenzako wenye akili timamu wanakuona mpumbavu kweli😂😂😂😂., Hii inafaa ni peleke kule kwa jukwaa la siasa ama habari na hoja mchanganyiko., Watanzania wakufunze kuzoea ukweli, mataga wewe😂😂😂😂😂😂😂
Apana umia mzee huu sio muda wakuumia kwasababu ya kuumbuka najua wakenya wengi hawapendi watu wa nje ya kenya kujua maisha yao kiundani hua wanahisi watachkwa 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna kuumia na ule muda wa kujisifia vya watu au kujisifia uongo ulishapita huu muda hata mtoto wa miaka miwili yuko japan ukimuuliza kibera ni nn atakwambia slum🤣🤣🤣

Hzi ni hesabu za dukani tu wala sijatumia nguvu kubwa sana na hii ndio link umepost wewe sasa nshangaa mwenzangu unatoa mapovu kibao vicheko vya kuzuga 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 rejea hapana ogopa hapana ona aibu
Hata tukitumia hesabu za dukani achilia hesabu za kiuchumi tutumie hesabu za dukani za kuuza karanga na soda

nikikwambia ni ndoto ya alinacha unasema mm muongo👇👇👇🤣🤣🤣🤣
Boda boda anatakiwa aweke savinga ya 1000ksh a week
1000ksh * 4weeks = 4000ksh a month
So 4000ksh a months * 12 months = 48000ksh
So 48,000ksh yearly * 7 = 336,000/

wakat amepewa miaka 7 mm nakwambia huyo boda boda apewe miaka 50 achia miaka 7 apewe miaka 50 hanunui plot wala ushuzi wa plot 😅😅😅😅 kwa maisha gani hayo kila kitu rushwa inflation iko over 5%

ikiwa hatuoni hata kupapasa pia hatuweziView attachment 1790404
Na hii unit ni two bedroom 😄😄😄 just imagine unatuletea siasa za jubileee wakat maisha yenu mabovu kuliko ya zimbabwe hzo ajira zenyewe hakuna about 40%😁😁
 
Exactly, unajua kusoma kweli? Let me put it in Swahili for u kilaza😂😂😂, Haikuwa rahisi to convince members wengine kujoin pale mwanzo, but mwishowe nini kilitokea? Housing!😂😂😂😂., It is a success story, na sio tu kikundi kimoja tu!😂😂😂,
Yaani taarifa inakupa mwendo ulivyo kua, sasa watu wanachangamkia SACCO utabakii kushangaa shangaa tu😂😂😂😂😂
Wenzako wenye akili timamu wanakuona mpumbavu kweli😂😂😂😂., Hii inafaa ni peleke kule kwa jukwaa la siasa ama habari na hoja mchanganyiko., Watanzania wakufunze kuzoea ukweli, mataga wewe😂😂😂😂😂😂😂
Mm nijifunze ukweli juu ya kenya ama 🤣🤣 umekalia kuleta siasa na chuki kwa ccm kwasababu unaumbuka 😁😁😁😁 dunia haiendi hvo na haitakua hvo dunia ya leo sio ile ya miaka 20 iliopita, kama munafkiri mutaficha aibu zenu kwa uongo dunia ya leo sahau hayo ni maoni yangu binafsi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom