Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenzako anapost bodaboda wa nakuru sisi tunazungumzia nairobi which is which??🤣🤣 hata mkikasirika mukabichukia mm namwaga unga tu 🤣🤣🤣🤣
Wewe na nani?, topic ilikua yangu., mimi mleta mada asubuhi ya leo 🤣😂😂😂😂🤣, umejinyea leo😂😂😂
 
roho inapiga mpaka umesahau kuandika😂😂😂😂 utakufa bure😁😁😁😁
 
Unajifanya chizi sio😂😂😂😂😂😂😂
Umeona alivyo mjinga🤣😂😂😂😂🤣., yaani ata hakujua anapinga nini yeye bora apinge tu😂😂😂😂🤣., ama alifikiria ni continuation ya jana, where alishindwa kuleta picha? huko nilitoka🤣😂😂😂 maybe alidhani ni ile ya jana., muelewe anajitia hamnazo tumsamehe tu😂😂😂😂
 
roho inapiga mpaka umesahau kuandika😂😂😂😂 utakufa bure😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣 unazuga sasa kule pagumu sasa umeanza kukosoa maandishi tulia mzee urambe dawa kwanza acha wenge
BC1D48CE-9756-47E8-80A0-5408D1C3FFAF.jpeg
4808CA83-6F9B-4DEC-BF09-4DAC07ED1580.jpeg
FC4C586F-26A6-4C6A-8D2A-D28717B79F24.jpeg
6FBE36B5-399C-4F1D-BEEA-8F4119AAFE78.jpeg

6670B916-07DC-4CC6-8A24-F33FE5699194.jpeg
 
Wewe na nani?, topic ilikua yangu., mimi mleta mada asubuhi ya leo 🤣😂😂😂😂🤣, umejinyea leo😂😂😂
Topi alianzisha Nicxie na sasa ww ukaja kujiripua sasa tulia uokote majivu 🤣🤣 mukajua munayofanya nairaland na hapa mutafanya hvo hvo 😃😃😃😃 tumetoka naairobi tumeenda nakuru sasa ndoto wa wakazo wa nairobi kumiliki plot na nyumba imebaki historia
 
Umeona alivyo mjinga🤣😂😂😂😂🤣., yaani ata hakujua anapinga nini yeye bora apinge tu😂😂😂😂🤣., ama alifikiria ni continuation ya jana, where alishindwa kuleta picha? huko nilitoka🤣😂😂😂 maybe alidhani ni ile ya jana., muelewe anajitia hamnazo tumsamehe tu😂😂😂😂
Amekorogeka hajui tena yuabishania nini😂😂😂😂😂😂😂 chupi imejaa mavi💩💩💩
 
Umeona alivyo mjinga🤣😂😂😂😂🤣., yaani ata hakujua anapinga nini yeye bora apinge tu😂😂😂😂🤣., ama alifikiria ni continuation ya jana, where alishindwa kuleta picha? huko nilitoka🤣😂😂😂 maybe alidhani ni ile ya jana., muelewe anajitia hamnazo tumsamehe tu😂😂😂😂
Mm au wewe anaehamisha mada kutoka nairobi anapeleka boda boda wa nakuru tulizana kwenye mada hata kama kiti cha moto mwenzako sasa hvi anakagua makosa yakimaandishi 😁😁😁😁😁 leo nimecheka sana kumbe na slums zinamilikiwa na serekali lahaula wala kuwata 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee mada ilikua ya sacco, hio nakuru ni mfano wa jinsi sacco ilivyo saidia watu wa boda boda. Don YF huyu akili imekufaa😂😂😂
 
Topi alianzisha Nicxie na sasa ww ukaja kujiripua sasa tulia uokote majivu 🤣🤣 mukajua munayofanya nairaland na hapa mutafanya hvo hvo 😃😃😃😃 tumetoka naairobi tumeenda nakuru sasa ndoto wa wakazo wa nairobi kumiliki plot na nyumba imebaki historia
Hiyo ilikua yenyu na yeye., yangu ya SACCOs uliodandia was independent to show wenye bright minds how things are done by low income earners in Kenya ili kujiinua kimaisha na nikaweka evidence ya how boda boda riders wameji imarisha, ilikua ina lenga majadiliano na sio mjadala😂😂😂 next time chukua muda kuelewa kabla ya kukurupuka 😂😂😂😂😂🤣., bro leo umeniangusha na kuniaibisha sana! 🤣😂😂😂🤣., usiwe hivyo siku nyingine..😂😂😂😂🤣., wivu na chuki zimekutia upofu akilini😂.,
 
Back
Top Bottom