Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Onyesha boda boda wa Nakuru, Nanyuki, Kitengela na wengi wao wamedanganya dunia, hawakujenga nyumba na hawana chochote.., nangoja jibu sina haraka😂😂😂😂😂., wacha kutapatapa na vijisababu uchwara 😂😂😂😂.,

Onyesha....,weka evidence..,
Kwa faida ya wana sacco😂😂😂😂., Unaumia hadi raha😂😂😂., Na bado wana sacco wana nyumba zao Donholm., Wewe kilaza, members wanakula dividends kila mwisho wa mwaka wewe uko hapa kupinga usicho fahamu😂😂😂😂😂., uliza faida ya kukuwa member wa SACCO ni nini? SACCO inatumia mchango wa members kujenga nyumba ama kufanya biashara kisha wakauza kwa faida na members wanapewa dividends kila mwaka kulingana na mchango wa mtu., leo nitakufunza kwa lazima😂😂😂., Asie funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengu 😂😂😂., Mimi ndio ulimwengu kwako., Yaani uko ovyo😂😂😂😂😂😂., "...Sikuchukii na kudharau.."😂😂😂., (Waliimba Kleptomaniacs)
Angalia sasa kaleta link hapa na mada ni dar vs nairobi ananimabia tena boda boda wa nakuru sijui kaingiaje tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Bro kubaliana na ukweli hata kama utanichukia mm ww chukia tu i dont care madamu nakupa matokeo mkononi just take it😅😅😅😅😅

mm niliwaambia hata highclass wenu nyumba za dream kabisa hawana achilia mbali hao wa kurent bedistter mukiwaita middle class na siku utapata makazi ya high class ambayo wamejenga kwa ramani zao kwa dream zao nairobi nitag mm 😅😅😅
 
Kajiharia sasa😂😂😂😂.,
Akaendelea kujilipua😂😂😂😂, kudadeq alisema hakuna kitu kama Nairobi metro👇👇👇View attachment 1790633
Don YF huyu jamaa tutamuua kwa presha 😂😂😂
Unajua maana ya kukimbia nje ya mji unajua maana yake ??? 🤣🤣🤣 maana yake maisha ya kumiliki ardhi nairobi hayapo sasa munakwenda machakani kutafuta plot za bei nafuu ndio hzo munaenda anaother county za kiambu etc lakini ndoto ya kumiliki ardhi nairobi haitakuwepo mpaka dunia itasmama na maskini atabako maskini
 
Najaribu nn 🤣🤣🤣🤣👇👇👇 sio mm ni mwenyeji wa nairobi kazaliwa nairobi
Unapata tabu sana, pole kama nimekukosea kwa kweli😂😂😂😂, I was just posting ili kufaidi wenye akili ndefu, sikujua post yangu itakuumiza hivi😂😂😂😂., hadi unaweka maneno kwa mdomo ya masikini mwenzako😂😂😂😂😂., Pole nanii, sikupenda kwangu ni hawa 👇👇watu wa boda boda wali ni motivate., nisamehe kaka, umeteseka sana🙏🙏😂😂 nilidhani utajifunza kitu kumbe ugonjwa wa wivu na chuki umekuandama hadi kwa mishipa😂😂😂 pole kaka., tuwe tu marafiki., sio lazima ukubali ukweli kutoka Kenya, baki na slums basi., sina ubaya😂😂😂😂., Hawa watu👇👇 sitafuatilia mambo yao tena, umelia sana😂😂
Screenshot_20210519-060901.jpg

Screenshot_20210519-060609.jpg
Screenshot_20210519-061127.jpg

Screenshot_20210519-060717.jpg

Screenshot_20210519-061239.jpg
 
Naomba nionyeshwe model yenye watanzania wanatumia kujiinua kutoka kwa umasikini kama hizi SACCO za Kenya or related., Am still here leo, na ichoboy01 anipatie evidence ya kuonyesha wana boda boda wa Kenya ni waongo, SACCO haijawasaidia kujijengea nyumba na kuwainua kimaisha..,
Tanzania ardhi ni bei nafuu sana na zipo vikoba kama sido na makampuni mengi sana yanakopesha viwanja na nyumba 🤣🤣👇
Makampuni ni megi sana yapo ya serekali yapo ya mashirika yapo ya watu binafsi
Na nje ya hapo ardhi bei haimyimi mtu maskini kumiliki ardhi na nyumba
555427A9-27D0-4E8A-9FD1-ADD2D112DA97.jpeg
1A871A80-39DD-4E11-83AF-5CC1778B55DC.jpeg
47521AEB-113A-4085-B25C-1571AA1EDF08.jpeg
 
Unajua maana ya kukimbia nje ya mji unajua maana yake ??? 🤣🤣🤣 maana yake maisha ya kumiliki ardhi nairobi hayapo sasa munakwenda machakani kutafuta plot za bei nafuu ndio hzo munaenda anaother county za kiambu etc lakini ndoto ya kumiliki ardhi nairobi haitakuwepo mpaka dunia itasmama na maskini atabako maskini
Nairobi imekua metropolitan kwa ajili ya hiyo., SACCO zimechangia.., ndio sababu estates outskirts of Nairobi kama Kajiado, Machakos na Kiambu zinashinda za Dar hands down, ama pia unataka evidence😂😂😂😂😂., jitafutie
 
Unapata tabu sana, pole kama nimekukosea kwa kweli😂😂😂😂, I was just posting ili kufaidi wenye akili ndefu, sikujua post yangu itakuumiza hivi😂😂😂😂., hadi unaweka maneno kwa mdomo ya masikini mwenzako😂😂😂😂😂., Pole nanii, sikupenda kwangu ni hawa 👇👇watu wa boda boda wali ni motivate., nisamehe kaka, umeteseka sana🙏🙏😂😂 nilidhani utajifunza kitu kumbe ugonjwa wa wivu na chuki umekuandama hadi kwa mishipa😂😂😂 pole kaka., tuwe tu marafiki., sio lazima ukubali ukweli kutoka Kenya, baki na slums basi., sina ubaya😂😂😂😂., Hawa watu👇👇 sitafuatilia mambo yao tena, umelia sana😂😂
View attachment 1790690
View attachment 1790691View attachment 1790693
View attachment 1790692
View attachment 1790694
Tunaongelea nakuru tunaongelea nairobi 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unajua hii mada ilianzia wapi Nicxie njoo umsaidie mwenzako kwanza ajue mada ilpoanzia 😅😅😅😅 70% kuishi kwenye slums nairobi ni halali bro niamini mm kumbe na slums ni za serekali
 
Tanzania ardhi ni bei nafuu sana na zipo vikoba kama sido na makampuni mengi sana yanakopesha viwanja na nyumba 🤣🤣👇
Makampuni ni megi sana yapo ya serekali yapo ya mashirika yapo ya watu binafsi
Na nje ya hapo ardhi bei haimyimi mtu maskini kumiliki ardhi na nyumba
View attachment 1790702View attachment 1790703View attachment 1790704
Sasa ona wewe kilaza kweli! Those are real estate companies, ni biashara za kujenga na kuuza na pia kuuzia watu plots, hata Burundi, Malawi, akina south Sudan wanazo hizo, hizi umepost sio scheme ya kusaidia mtu wa chini kujiinua😂😂😂., hizi ni biashara za kawaida tu.., kumbe haujui SACCO., pole sasa nimekuelewa, ungeuliza tu ufafanuliwe😂😂😂.,
 
Nairobi imekua metropolitan kwa ajili ya hiyo., SACCO zimechangia.., ndio sababu estates outskirts of Nairobi kama Kajiado, Machakos na Kiambu zinashinda za Dar hands down, ama pia unataka evidence😂😂😂😂😂., jitafutie
Tunaongelea nairobi city hatuongelei kaambucounty usichanganye chai na uji 🤣🤣🤣🤣🤣 rudi kwenye mada kwanza mm nataka uwelewe mada na ujibu
945356D4-C232-4754-B44C-270486FB5F30.jpeg
4431D366-5E0A-42D8-B6A6-1F315800BEB6.jpeg
 
Sasa ona wewe kilaza kweli! Those are real estate companies, ni biashara za kujenga na kuuza na pia kuuzia watu plots, hata Burundi, Malawi, akina south Sudan wanazo hizo, hizi umepost sio scheme ya kusaidia mtu wa chini kujiinua😂😂😂., hizi ni biashara za kawaida tu.., kumbe haujui SACCO., pole sasa nimekuelewa, ungeuliza tu ufafanuliwe😂😂😂.,
Choma ndani 🤣🤣🤣👇👇👇👇

09107A92-3A70-435A-B532-EBA4CF577EFD.png
D37D55B9-5D7D-41AE-8413-42989480F63D.png
99989885-2D13-488C-9F00-D6311FFD81D1.png
 
Tunaongelea nakuru tunaongelea nairobi 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unajua hii mada ilianzia wapi Nicxie njoo umsaidie mwenzako kwanza ajue mada ilpoanzia 😅😅😅😅 70% kuishi kwenye slums nairobi ni halali bro niamini mm kumbe na slums ni za serekali
Mimi ndio mleta mada asubuhi ya Leo, a new thing watu wajifunze kitu na kujadiliana, wewe na wivu na kinyongo ukarukia kujaribu kuponda na ku derail coz ya chuki.😂😂😂😂, sasa ona ulivyo jichanganya, sikukua naleta mjadala but majadiliano, wewe na kiherehere yako umejiaibisha humu😂😂😂😂.,
 
Sasa ona wewe kilaza kweli! Those are real estate companies, ni biashara za kujenga na kuuza na pia kuuzia watu plots, hata Burundi, Malawi, akina south Sudan wanazo hizo, hizi umepost sio scheme ya kusaidia mtu wa chini kujiinua😂😂😂., hizi ni biashara za kawaida tu.., kumbe haujui SACCO., pole sasa nimekuelewa, ungeuliza tu ufafanuliwe😂😂😂.,
Choma ndani 👇👇👇👇 hii taasisi ya serekali 😃😃😃😃😃😃

👇👇👇👇
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 povu na uharo umewatoka mwenzako kakimbilia bodaboda wa nakuru sio tena wa nairobi
Unapata tabu sana, pole kama nimekukosea kwa kweli😂😂😂😂, I was just posting ili kufaidi wenye akili ndefu, sikujua post yangu itakuumiza hivi😂😂😂😂., hadi unaweka maneno kwa mdomo ya masikini mwenzako😂😂😂😂😂., Pole nanii, sikupenda kwangu ni hawa 👇👇watu wa boda boda wali ni motivate., nisamehe kaka, umeteseka sana🙏🙏😂😂 nilidhani utajifunza kitu kumbe ugonjwa wa wivu na chuki umekuandama hadi kwa mishipa😂😂😂 pole kaka., tuwe tu marafiki., sio lazima ukubali ukweli kutoka Kenya, baki na slums basi., sina ubaya😂😂😂😂., Hawa watu👇👇 sitafuatilia mambo yao tena, umelia sana😂😂
View attachment 1790690
View attachment 1790691View attachment 1790693
View attachment 1790692
View attachment 1790694
 
Tunaongelea nakuru tunaongelea nairobi 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unajua hii mada ilianzia wapi Nicxie njoo umsaidie mwenzako kwanza ajue mada ilpoanzia 😅😅😅😅 70% kuishi kwenye slums nairobi ni halali bro niamini mm kumbe na slums ni za serekali
Kumbe haukuelewa what I posted, ulidandia kwa msukumo wa wivu na chuki ulio kujaa kuhusu Kenya!😂😂😂😂🤣., kumbe ungefyata tu🤣😂😂😂😂🤣
 
Back
Top Bottom